Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA MAREHEMU DATUS BUBERWA NYAMWIHURA

Ndugu Christopher Chichi Nyamwihura anasikitika kutangaza kifo cha  ndugu yake mpendwa Datus Buberwa Nyamwihura kilichotokea Juzi Jijini Dar es Salaama.saa 9 alasiri.
Bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake lihimidiwe.
Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa  familia ya marehemu ,ndugu na jamaa wote Mwenyezi  Mungu awape nguvu na kuhili majaribu Amen!!
 RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU DATUS BUBERWA NYAMWIHURA NI KAMA IFUATAVYO;                            SAA 3.Ah. MPAKA 5.30 KUPOKEA WAGENI MBALIMBALI.
                      SAA 5.30 MPAKA SAA 8.00 MCHANA WAGENI KUPATA CHAKULA.
                      SAA 8.00 MPAKA 9.00  KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU
                     SAA 9.00 MPAKA SAA 10.30 IBADA YA MISA NA MAZISHI.
Next Post Previous Post
Bukobawadau