TASWIRA MJINI BUKOBA LEO JUMATANO APRILI 16,2014
Taswira mbalimbali viunga vya mji wa Bukoba leo Jumatano Aprili 16,2014
Hekaheka za wadau katika utayari wakuyakabili majukumu na changamoto za maisha
Vijana Wajasiliamali maarufu kwa jina la ASSECDO kama walivyokutwa na Camera yetu.
Jengo jipya lililopewa jina la Bugabo House.
Mdau Edgar katika pitapita zake mtaani.
Jaffery shule ya Sekondari iliyopo katikati ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Fundi Ashraf mbele ya Camera yetu
Wanaonekana wadau katika harakati za kulinufaisha taifa pasipo kutetereka katika kuyakabili majukumu yao
Haki Street Bukoba, maarufu kama mtaa wa One way.
Rutinwa House.
Jengo la CRDB Bank Tawi la Bukoba
Hivi ndivyo inavyo onekana barabara Kashozi
Makutano ya barabara ya Jamhuri na Kashozi
Kwa mbele ni Jengo la Rwabizi Plaza
Mtaa ya Soko kuu mjini hapa
Barabara ya Zamzam.
Hekaheka za wadau mtaa wa Zamzam mjini hapa.
Muonekano wa barabara ya Arusha mjini hapa.