Bukobawadau

TASWIRA SHEREHE ZA MUUNGANO UWANJA WA TAIFA lLEO APRILI 26,2014

 Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokua anaingia uwanja wa Uhuru leo katika mahadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Pembeni yake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikweteakikagua vikosi vya ulinzi na usalama
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais Joyce Banda wa Malawi katika sherehe za miaka 50 ya muungano,Rais Banda kwa sasa ndiye Mwenyekiti wa Jumuiya ya uchumi kusini mwa Africa SADC.
  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Mfalme Mswati III katika sherehe za miaka 50 ya Muungano.
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda.
 Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi.
Taswira Rais Kikwete na waheshima wengine wakifuatilia kinacho endelea
 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakishangilia kwa furaha wakati makomandoo wakishuka kwa miamvuri uwanjani kama inavyo onekana katika picha inayofuata.
Makomandoo wakishuka kwa miamvuri Uwanjani.

Next Post Previous Post
Bukobawadau