UBELIGIJI NA TANZANIA KUHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA RELI TANZANIA
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika
picha ya pamoja na Mwakilishi wa Wadau wa Sekta ya Reli Ubelgiji Bwana.
Jacques Delaunoit baada ya kumaliza kikao cha kuandaa Kongamano la
Uwekezaji katika katika sekta ya Reli Tanzania. Kongamano hilo
litafanyika Ubelgiji mwezi Mei, 2014.