WAZIRI MKUU SPORTS CLUB YAANZA KWA KISHINDO MASHINDANO MEI MOSI, MOROGORO
Wanamichezo wa Ofisi ya Waziri Mkuu
wanaoshiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mjini Morogoro, wakipita mbele ya
mgeni Rasmi, Mkuu wa mkoa wa Morogoro
Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati wa Ufunguzi wa mashindano hayo jana. Washiriki
wa Mashindano hayo ni Wizara, Idara na Taasisi za Serikali zinazojitegemea.
Timu ya kamba Wanaume ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu ya Alliance One (hawapo pichani) ambapo Timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu imeshinda katika mchezo huo.
Timu ya Mpira ya Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshiriki katika Mashindsno ya Mei mosi yanayoendelea mjini Morogoro. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Timu ya kamba Wanawake ya Ofisi ya Waziri
Mkuu wakivutana na Timu ya Alliance One (hawapo pichani) ambapo Timu ya Ofisi
ya Waziri Mkuu imeshinda katika mchezo huo.