BALOZI KAMALA AELEZEA MIKAKATI YA KUTAFUTA FEDHA ZA KUTEKELEZA MIRADI KATIKA BONDE LA ZIWA TANGANYIKA
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika,
Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akielezea
Mawaziri na Wadau wa Bonde la Ziwa Tanganyika jitihada zinazofanywa na
Mabalozi kutoka Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika (Brussels) katika
kutafuta fedha za kutekeleza miradi mbalimbali katika Bonde la Ziwa
Tanganyika
Balozi Kamala ni Mwenyekiti wa Kundi la Mabalozi kutoka Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika- Brussels. Kikao cha Mawaziri na Wadau wa Bonde la Ziwa Tanganyika kimefanyika leo
Mhe.Samia Suluhu Hassan Waziri wa Nchi (Muungano) akiwa katika picha ya Pamoja na Mwenyekiti wa Kundi la Mabalozi wa Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika - Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Mhe Samia na Balozi Kamala wanahudhuria kikao cha Nchi za Bonde la Ziwa Tanganyika kinachofanyika Burundi - Bujumbura katika Hotel ya Ziwa Tanganyika