BALOZI KAMALA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MABALOZI WA NCHI ZA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP)
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi
wa ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiongoza kikao cha 873
cha Kamati ya Mabalozi wa ACP. Kikao hicho kimefanyika Brussels kuandaa
kikao cha Baraza la Mawaziri la ACP kitanachotarajiwa kufanyika Nairobi
Kenya tarehe 16-20 Juni,2014.