Bukobawadau

HARUSI YA ALBERT MUCHURUZA NA BI EVODIA ERASTO YATIKISA MJI WA BUKOBA


 Kama inavyosikika na  minong'ono  kuenea juu ya Harusi iliyotikisa Mji wa Bukoba na kuweza kufunika,Basi leo  Bukobawadau Blog, tunakudhibitishia hilo na kukupatia taswira yaliojili



Mr. Albert muchuruza akitia saini hati ya ndoa katika kanisa la Cathedral
Mrs. Albert muchuruza akitia saini hati ya ndoa katika kanisa la Cathedral
Jopo la Mapadri lililoendesha misa ya ndoa hii
Wadhamini wa ndoa wakitia saini hati ya ndoa
Burudani ya kwaya ya BCC ikitumbuiza
Maharus wakitoka kanisani mara baada ya kufunga ndoa
Kutoka kushoto ni Mr.Yusto P.Muchuruza baba wa bwana Harusi, na kutoka Kulia ni Mrs Yusto P.Muchuruza katika pozi na maharusi
Maharusi katika picha ya pamoja na wapambe.
Maharusi wakijiandaa kuingia katika gari la kifahari

Maharusi katika picha ya pamoja na wapambe.



Masafara mrefu wa maharusi katikati ya mji wa Bukoba



Kutoka kuli ni Bw.Hemedi kutoka Dar na kutoka kulia Bw Adelick kutoka mjini Dar es salaam na Dr.Mgidi kutoka nchini South Africa
Bibi harusi na mama mkwe katika pozi
Moja ya pozi la aina yake kutoka kwa maharusi wetu
Wageni mbali mbali wakiingia ukimbini

Aki na ukwa kutoka mjini Dar-es-salaam wakifanya yao
Papaa Hemedi akiwatunza Aki na Ukwa
Meza ya wazazi upande wa bibi  harusi
Maharusi wakiingia ukumbini


Maharusi wakionyesha ishara ya THE END kuashiria mwisho wa  ukapera
Maharusi wakisalimia wageni waalikwa wakati wa kuingia ukimbini

Maharusi wakisalimia wazazi wakati wa kuingia ukumbini
Muonekano wa keki iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya harusi hii kutoka nchini Uganda

Bw Harusi akimtambulisha mpambe wake Josephat Mbwambo
Tukio la kufungua champagne 


Maharusi katika pozi
Show ya "Mbutu" kutoka nchini Uganda

 ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club japo kwa mkutasari
Ni Harusi ya Mdau Albert Muchuruza na Bi Evodia Erasto pichani, harusi iliyo andaliwa vyema na kuhudhuriwa na watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.
 Wanaonekana Mr and Mrs Muchuruza ambao ni wazazi wa Bwana Harusi
Muendelezo wa tukio la maharusi kukabidhi zawadi ya Keki kwa wazazi.
 Bi harusi akipiga magoti kukakikabidhi zawadi ya Keki kwa wakwe.
 Bwana harusi akipeleka zawadi ya keki kwa wakwe


 Mr.muchuruza
Matukio ya  sherehe ya harusi  iliyofanyika katika ukumbi wa Linas Night Club,Ijumaa May 16,2014


 Mrs Muchuruza akipongezwa na akina mama
Sehemu ya Wanakamati wa harusi hii, chini ya Mwenyekiti Advocate Rweyemamu.
Hata kama mtu alikuwa beasy  lakini hakuwa lahisi kuacha kuhudhuria harusu hii ya Mdau Albert Muchuruza na Bi Evodia Erasto
 Sehemu ya Wanakamati wakipokea keki
 Saida Karoli akifanya yake
Mr.God akiserebuka na Ngoma ya saida
 Unclu Salum Mawingo maarufu kama 'Organizer' akifurahia makamuzi ya  Saida Karoli
Meza ya wazazi wa Bwana harusi
Hakika kila kitu kipo sawa ni mwendo wa furaha ndani ya ukumbi wa Linas.
 Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunasema hongera sana Mr & Mrs Albert Muchuruza
Maharusi wakiingia kwa mara ya pili katika muonekano mpya wa vazi kali la kihindi.

 Ni fulsa kwa Wazazi wa Bwana Harusi kutoa neno neno kidogo kama anavyo onekana Mr.Muchuruza pichani
Mzee.Muchuruza ambaye ni Baba Mzazi wa Bwana Harusi akikabidhi zawadi ya Biblia ikiwa ni halama ya Upendo na iwe silaha katika maisha yao, pia Mr and Mrs Muchuruza wamewazawadia zawadi ya nyumba ya kisasa kabisa maharusi hawa na safari ya kwenda honeymoon huko GERMANY na BELGIUM 
Wazazi wa Bwana harusi wakikabidhi zana za kimila mkuki na mundu kwa ajili ya kujilinda
Hapa Bi harusi akiwa kapiga magoti tayari kupokea zawadi kutoka kwa wazazi wake
Mbele ya wazazi wa Bi Harusi
Kivutio kingine katika shughuli hii ni mavazi ya maharusi hawa.
Moja kati ya kitu tunachoweza kujivunia ni ukali wa  picha zinazowafanya maharusi wetu kupendeza zaidi .

Dr. Martin Mgidi  akitoa Dolla kwa maharusi
Dr. Martin Mgidi akifurahia kwa style ya kipekee kutoka South Africa
Dr. Martin Mgidi  rafiki mkubwa wa bwana harusi ametoa zawadi ya kutembelea miji mitatu ya South africa kwa maharusi hawa.
 Mr and Mrs Santu sehemu yaWageni waalikwa wakiwa kwenye sherehe hiyo.
 'LUOMPO 'ni aina flani ya Chakula cha kimila kwa jamii ya watu wa Uganda na Kagera
Endelea kuwa nasi kwa picha za  matukio zaidi
Mdau Eng. Kijigo mtu wa watu, mtu wa shangwe akitekeleza jukumu lililopo mbele yake!
Next Post Previous Post
Bukobawadau