SHUGHULI YA NDOA YA MDAU AZIZ HUSSEIN KICHWABUTA NA BI ANIFA HAMIMU KAJUGUSI
Sheikh akisimamia ndoa ndoa ndugu Aziz Kichwabuta
Bwaba Aziz kichwabuta katika zoezi la ndoa yake iliyofungwa katika misingi na taratibu za kiislam.
Sheikh akiendelea ...
Huyu ndiye Anifa mke wa Mdau Aziz Kichwabuta.
Sheikh akimkabidhi kalamu Bi Sajida aweza kuweka sahihi katika cheti cha ndoa.
Uncle Salum Organizer akimpongeza Bwana Harusi Mdau Aziz Kichwabuta.
Kaka Majid Kichwabuta akimpongeza Mdogo wake.
Kaka Badru Kichwabuta pichani kushoto, sheikh Haruna Kichwabuta (kulia)|Kwa nyuma anaonekana Mdau Badru Sudi(Bilungi)
Kushoto Sheikh Habibu Kichwabuta, , katikati ni Mdau Siraji Kichwabuta ,akifuatia Bwana Harusi na Mpambe wake ambaye ni Kaka yake, Ndugu Kuraish Kichwabuta.
Mama Johari, mama mzazi wa Bwana harusi akiingia ukumbini na wenzake.
Dada wa Bwana Harusi wakiingia ukumbini kwa madaha na Vikeleshendo.
Taswira wageni kutoka Bukoba wakiingia ukmbini.
Wakati wadau hawa wakiingia ukumbini, Yupo Salum Kapara Organizer wa Mawingo (Al Saqry)kamachumu moja hiyo, Yupo Ndugu Siraji katikati, huyo mdau wa Kaloleni , kulia ni Mwalimu Adnani, huyu ni mtu wa watu na vijana wamepita /tumepita mikononi mwake.
Anaonekana Sheikh Haruna Kichwabuta ,Sheikh Mkuu Mkoa Kagera
Assec Akhim Kichwabuta akiteta jambo na Mdau.
Hivi ndivyo mambo yanavyo endelea kupitia bukobawadau BLOG.
Anaonekana Mdau Haruna Goronga, kulia kwake ni Ndugu Fuady.
Sehemu ya Wenyeji upande wa Bibi Harusi, nyumbani Jijijini Mwanza Tanzania
Bwana harusi anamtambua mkewe kwa kutumia Dolla za Marekani kabla ya kumfunua shela
Bwana Harusi Na Bibi Harusi wakipiga Chears
Maharusi wetu katika Picha mbalimbali za kmbukumbu.
Bibi Harusi wetu Bi Anafa ana pozi za ukweli, haogopi camera hata kidogo.
Hapa ni pozi la kumbukumbu na Bukobawadau.
Bi Anifa mbele ya wanahabari wa vyombo mbalimbali
Wanahabari katika shughuli hiyo iliyohudhuriwa na mwanalibeneke weno ,ilipambwa na watu mbalimbali wakiwemo watu maarufu wa Kanda ya ziwa.
Shughuli inaendelea..
Msemaji wa familia ya Kajugusi akitoa utambulisho
Dada Kabeya pichani kushoto na Mwanamama Fatuma Abdallah (kulia).
Mdau Nsubuga Yunusu Mgogo , pichani kulia.
Mdau Bushila akimlaki Kaka mkuu, mara baada ya kufika eneo la tukio, Ndugu E. Nyambo alikuwa Jijini mwanza kwa shghuli za kikazi, ila kwa uzito wa tukio ikamladhimu kuhudhuria
Mzee makusalo na Waya (Mr. Minja) ikiwa ndiyo anaingia sehemu ya tukio , lililo mkuta Jijini mwanza kwenye shughuli za kikazi.
Bibi harusi akishow love wakati anaagana na wadaogo zake.
Nyumnbani kwa Bwana Harosi , Mitaa ya Mabatini/Kaloleni jijini Mwanza
Tukio nyumbani kwa Bwana harusi.
Matukio yakiendelea nyumbani kwao Bwana Harusi, Jijini Mwanza.
Mr & Mrs Badlu Hussein Kichwabuta, katika picha na Bwana harusi wetu Mdau Aziz Hussein Kichwabuta.
Wakishow love mbele ya Mama Johari mama mzazi wa Bwana Aziz Kichwabuta hii ni muda mchache kabla ya Bi Harusi kuingizwa ndani, hakika inapendeza
Ni jambo zuri na la kupendeza sana Mme na Mke kuishi pamoja kwa umoja na furaha, ndivyo wanavyo onekana Mr&Mrs Khakim Kichwabuta wakiwa wamevaa miwani myeusi na kuonyesha utofauti kidogo
CHECK SEHEMU YA VIDEO MATUKIO YA SHUGHULI YA NDOA HAPA CHINI.

Wanahabari katika shughuli hiyo iliyohudhuriwa na mwanalibeneke weno