MEI 21 KUMBUKUMBU MIAKA 18 YA AJALI YA MELI YA MV .BUKOBA
Mei 21,1996 katika ziwa Victoria,Mwanza Tanzania meli ya Mv Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha yao.Meli ilizama kilomita 30 kukaribia kutua nanga kwenye bandari ya mwanza ikitokea Bukoba.
Meli ikuwa na uwezo wa kubeba idadi ya watu 430. Kwenye first and second class orodha ya abiria ilikuwa 443 na kwenye third class hakukuwepo rekodi yoyote .Takribani 1000 walifariki kwenye ajali hiyo
Meli ikuwa na uwezo wa kubeba idadi ya watu 430. Kwenye first and second class orodha ya abiria ilikuwa 443 na kwenye third class hakukuwepo rekodi yoyote .Takribani 1000 walifariki kwenye ajali hiyo
WADAU TUUNGANE KATIKA KUWAOMBEA WENZETU KUANZIA HIVI SASA IKIWA NDIO MUDA MELI ILIANZA SAFARI KUTOKA BUKOBA MJINI KUELEKEA KEMONDO BAY AMBAPO ILIENDELEA NA SAFARI KUELEKEA MWANZA AMBAPO ILIZAMA MUDA MCHACHE KABLA YA KUTIA NANGA JIJINI MWANZA.
Bukobawadau blog tunaendelea kutoa pole kwa wafiwa..tupo pamoja ..mwenyezi Mungu awapumzishe mahala pema peponi woote waliotangulia mbele ya haki.Amina!!