PATA KUONA MATUKIO HARUSI YA MDAU AZIZ KICHWABUTA NA ANIFA HAMIDU LEO MAY 24,2014
Kweli kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu,Ni nice couple ndivyo wanavyo onekana Bwana na Bibi harusi katika matukio ya picha za ukumbusho muda mchache kabla ya kuingia ukumbini kwa ajili ya Shughuli ya Maulid .
Katika muendelezo wa picha za kumbukumbu
Ndioooo!!
Maharusi wakiendelea kupiga picha maalum katika bustani safi yenye kupendeza.
Naam Sheikh Aziz Hussein Kichwabuta
Katika pozi moya pana na zitoa wakionyesha wazi nyuso zenye mahaba mapana!
Katika kitu kinaitwa pozi hakika Bi Anifa anatosha!
Kwa akinadada hapa tumepata la kujifunza muonekano wa Bi Anifa alivyo paka 'EYESHADOW' na kupendeza,tulikalili ukivaa nguo yenye rangi tatu ,basi zote zionekane kwenye jicho hiyo Noma !!
Muonekano wa Bi Harusi katika Uvaaji mzuri wa Kiislam hakika amependeza!
Wakati tukiendelea na matukio i, tumepokea Email ya kuwapongeza maharusi hawa kama inavyosomeka katika picha inayofuata..
Congratulations Aziz and Anifa! Mum told me about this site so just had to drop in and see the happy couple. You both look so happy, it brings back wonderful memories of my own special day.
Congratulations again and remember to enjoy every single minute of it! Good luck and all the best. Love, your Friend Paul.
Watoto wa Kihaya asilia, hahahaaa wamependeza mbayaaaaaaaaaa!!
Wanaonekana wapambe wa maharusi mara baada ya tukio la picha za kumbukumbu.
Anaonekana Bi Sauda Kichwabuta Dada wa Bwana Aziz Kichwabuta
Huu ndio muonekano wa Bi Anifa muda mchache kabla ya kuingia ukumbini
Moja ya kitu kikubwa ninacho weza kusema ni kwamba hawa jamaa wanajua ni nini kinachotakiwa
Kutoka eneo moja kwenda jingine
Shughuli imewahusisha wadau wote wa Manispaa yetu, kwa kiasi kikubwa
Maharusi wakipata picha za fukweni.
Swaggar za wanahabari katika kuwajibika .
Dada Johari Kichwabuta katika picha ya fukweni na Maharusi, Mr & Mrs Aziz
Anaonekana Mama Arafat, Shangazi wa Bwana Aziz Kichwabuta.
Kando kando ya Ziwa Victoria Mdau Aziz na Mke wake wake
Upande wa Usafiri na maswala kama hayo alisimama vyema Mdau Rhym Kabyemela
Mdau Jamal Kalumuna Mwenyekiti Kamati ya Usafiri , katika harakati zake.
Wakati msafara ukiendelea, Bwana Harusi amefanya kufuru pale alipokuta kukundi la watu anachomoa pesa anawarushia watu na wanazigombania.
Swala zima la kurusha hela barabarani 'limerusha watu roho'na ni gumzo kila kona ya mtaa.
Msafara wa Maharusi ukiwa Hamugembe Darajani
Usawa wa Rwamishenye (Round about)
Sheikh Mustapha akisoma Dua ya Ufunguzi wa sherehe hii.
Ukumbini Waalikwa katika hali ya utulivu kabisa
Waalikwa ukumbini
Taswira ukumbini sehemu ya waalikwa .
Sheikh Chabitala katika kisomo.
Shughuli ikiendelea.
Mama Barongo pichani kushoto, na Mwanae Dada Pascazia Barongo wakifurahia kinachoendelea.
Taswira ukumbini.
Waumini wakisimama kumsalia Mtume (s.a.w)
Sheikh Mustapha akitoa Dua
Mdau Jeanifer Murungi Kichwabuta
Katikati ni Mama Nurag (Mama Nurath)
Mdau Mrishid wa Rose Cafe pichani kushoto, Badru Kichwabuta,na Haji Habuba
Mzee Haruna Mgula na Mzee Abbas.
Katikati ni Bibi wa Bi Harusi wetu .
Sehemu ya Wageni kutoka Jijini Mwanza, anakotokea Bibi Harusi wetu Bi Anifa wa Aziz.
Haji Adamu Sued pichani
Wanafunzi wa Moja ya Madarasa Iliyoweza kupagawisha na kuzipatia umaarufu mkubwa.
Wacha weeeh wanandugu wakifurahia 'Kaswida' kiimani ndio muziki mtamu na mzuri
Hakika ni furaha kwa Bwana Harusi , ndugu na marafiki wa familia ya Kichwabuta.
Burudani ya Dufu kama kawaida huwa apakaliki
Sheikh Haruna Kisaha akitoa nasaha zake kama Mzazi wa Bwana Harusi, na kama Sheikh.
Sehemu ya Wageni Waalikwa
Anaitwa Raulence Barongo(Boxer)
Mdau Taimuli Karama.
Dada Johari pichani kulia katika pozi na Bi harusi
Mzee Philbart Nyerere (pichani kushoto )na Mdau Rajesh Patel.
Ukumbi unalipuka kwa shangwe walipo nyanyuka Maharusi wetu...
Picha zaidi ya200 zipo tayari katika ukurasa wetu wa facebook.'Bukobawadau Entertainment Media'
Anaitwa Majid Hussein Kichwabuta,Mwenye furaha tele, pichani kushoto
Bibi Harusi Bi Anifa Hamidu , Mke wa Mdau Aziz Kichwabuta.
Katika Ubora wake na umakini anaonekana Muongozaji wa Shughuli hii,Salum Mawingo.
Sheikh Haruna Kichwabuta, akitumia fulsa hii kutoa shukrani kwa ndugu wa Bibi Harusi pichani
Ndugu wanafamilia katika utambulisho
Mama Farida akiwa katika picha na maharusi mara baada ya kuwakabidhi Zawadi kama MWENYEKITI wa kamati ya akina mama walishiriki kuwezesha shughuli hii
Kaka Badru Kichwabuta katika picha na Sheikh Habibu Kichwabuta
Mama Johari Mama Mzazi wa Bwana Harusi, pichani kulia
Bwele ya Bwana Harusi ni Kaka zake Wakubwa wakiongozwa na Baba yao Mdogo katikati
Sheikh Habibu Kichwabuta,katika zoezi la kumkabidhi Bwana Zawadi maalum.
Katika Ubora wake anaonekana Sheikh Habibu Kichwabuta akitoa nasaha kwa Bwana Aziz kwa kutumia mchanganyiko wa LUGHA 4 ,Pitia sehemu ya kwanza ya Video yetu kwa kubonyeza kitufe cha Play hapa chini.
CHECK SEHEMU YA PILI YA VIDEO SHEIKH HARUNA AKITOA NASAHA ZAKE.