TASWIRA MJINI BUKOBA LEO MAY 26,2014
Jengo la ofisi kuu ya chama kikuu cha Ushiriki Mkoani Kagera KCU (1990)Ltd.
Nje ya Jengo la KCU (1990)Ltd,Muonekano safi wa Swala zima la usafi wa MAZINGIRA.
Muonekano wa Sehemu mbalimbali za Mji wa Bukoba
Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunatumia fulsa hii kuwapongeza viongozi na Watendaji wa Manispaa ya Bukoba kwa kutunza mji wetu na kuufanya kuwa mshindi wa tatu (3) katika usafi wa miji ya Manispaa Kitaifa, hii pia ni fahari kwetu wana Kagera.
Somo linaonekana kueleweka kutokana na ufanisi katika kuyatunza mazingira yetu na kuyaweka katika hali ya usafi, tunaendelea kuwapongeza viongozi na wananchi wote kwa mshikamanokatika kuuweka Mkoa wetu katika hali ya usafi.
Maeneo ya NBC Bank,harakati za mkuu wa mkoa wa Kagera za kuweka mji safi zikiendelea
Uso kwaUso na Mdau Dona Style, akiendelea kufanya yake Dukani kwake
Kwa wale wapenzi wa Mikato ya kileo, Kitten Heels viatu vya maofisini na mitoko mingineyo Dona Style ni duka la mitumba la kike na kiume linalo patikana Mitaa ya Lwamigira Bilele.
Hivi ndivyo Mdau Dj Mtaalam wa vitu mbalimbali vya mitumba naviatu ambavyo ''ni vizuri kama vile ni vipya''
Wahi sasa kupata viatuuziiii ndani ya DS kwa bei poa kabisa
Ds katika kuwajibika kwake
Ndani ya Dona Style maarufu kama DS UTAPATA 'Clutch bags' Vile vipochi vidogo ambavyo hutumika sana , pale wanadada tunapotoka jioni kwenda muziki , au kwenye sherehe, vinatumika badala ya mikoba mikubwa ambayo madoo hubeba kwenda kazini mchana, Mdau fanya yako kujisogeza pande hizo.
Ni Vipochi vinavyo saidia wadada kuweka vitu kama simu naVipodozi kama poda , ukizingatia i nguo nyingi nyingi za Wanadada/ Mama hazina mifuko kama yalivyo makoti ya kina kaka.
Kwetu sisi kina Kaka , utapata viatu aina yoyote na vyenyekukufaa.
Kijana Hasheem akipata Chai pande za Transit Hotel
Uso kwa uso na Mdau AbdulMalik Tungaraza (Dj Max)
Maeneo ya fukweni, pande za Kiroyera.
Barabara ya Jamhuri,wanaonekana wadau wakishow love mbele ya Camera yetu