Bukobawadau

USIKU WA KILIMANJARO TZ MUSIC AWARDS 2014 FID Q NDANI,DIAMOND APOKEA 7 NA NENO TAMU KUTOKA KWA WEMA SEPETU!

 Msanii Fid Q aliye shangiliwa sana usiku wa tuzo hizo,ameweza kujinyakulia tuzo mbili ambazo ni Msanii Bora wa Hip hop na Mtunzi Bora wa Hip hop wa mwaka.
Kundi la Weusi katika Wimbo Bora wa Hip Hop,Hawa jamaa wote ni wakali wa sauti na mpangilio mzuri katika nyimbo zao.
 Wanaitwa Weusi / Ngumu / wameibuka na tuzo mbili ikiwa ni nyimbo Bora ya Hip hop(Nje ya Box-Nick wa pili ft Joh Makini& G Nako) na Kikundi cha mwaka
 Msanii Diamond Platinum ametoa tuzo 7 za Kilimanjaro  Tanzania Music Awards 2014,pichani Diamond akipokea moja ya tuzo yake kutoka kwa Wema Sepetu.
Young Killer, Msanii Bora chipukizi anayeibuka akitoa shukrani kwa mashabiki wake.
 Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Wema Sepetu aka Mrs Ngololo alishindwa kujizuia furaha yake baada ya Mr Ngololo Diamond Platinumz kupokea tuzo saba. na kusema;'I MUST SAY IAM A PROUD WIFE TO BE...IAM VERY PROUD OF MY BABY' ni kauli iliyopelekewa shangwe kubwa ukumbini na kukubaliana na hali halisi ya mwanadada Wema Sepetu.
 Picha mbali mbali za Red Carpet.
 Lwiza Mbutu
 Msanii wa Filamu Tanzania ,Rich Rich
 Pichani ni sehemu ya Red Red Carpet.
Ufunguzi wa Shoo katika Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music uliongozwa na msanii wa Bongo Fleva,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA.



Next Post Previous Post
Bukobawadau