Bukobawadau

USIKU WA 'MARADHI YA HUSDA'LANGU LA MOYONI NA NYINGINEZO KUTOKA KWA JAHAZI MODERN TAARAB NDANI YA LINAS CLUB BUKOBA

 Mfalme mzee Yusufu na kundi zima la JAHAZI JAHAZI MODERN TAARAB wasababibisha Shidaaa nyingine baada ya kushusha burudani yenye Vitu vikali  vitu vikali vilivyogusa kugusa hisia za watu wengi waliojitokeza ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club.
  Wapenzi wa  JAHAZI MODERN TAARAB wakiburudika na nyimbo kali kupita maelezo,na kama utatafuta semi za watoto wa mjini basi unaweza kusema 'Gwayaka' au 'Kaa mbali na Watoto'.
Ndani ya Linas Club Bukoba muonekano wa Nyomi ikiwa imepagawa na midundo ya Jahazi
'Kinyamahema hiki'Ni pale shost alipo onekana amepagawa na kujitoa fahamu kweupeeeeeeeeee!!!
Sehemu ya taswira,Mashabiki waliofulika ukumbini humo wakiserebuka
Full 'Kuchenkuka'na midondo ya wana wa Jahazi Modern taarab
'Hasidi hana Sababu' ni wimbo mpya ulioimbwa na Khadja Yusuph  pichani.
Mashabiki wakionyesha kuguswa na kibao cha 'Hasidi hana Sababu,wimbo uliopangiliwa vyema na kubeba ujumbe wenye mashiko,lakini yote juu ya yote ni vile Bi Khadja Yusuph alivyo onyesha utulivu na  kuutendea haki wimbo huo kwa uwimbaji wake.
Waimbaji wa Jahazi Modern Taarab wakiwajibika.
 Mwendo wa burudani kwa mashabiki wa Jahazi Modern Taarab
Jukwani ni  mke wa Mzee Yusuf na mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab Bibie Leila
Masham sham ya watu ukumbini.
 Vidole hewani kana kwamba  Malindi imeamia Ndani ya Kisima cha Burudani Linas Club.
 Bibie Shamira Chanini wa milindimo ndani ya 88.5 Kasibante Fm Radio
 Hapa panaheka heka mpaka basiii!!
 Mkubwa Ibrahim Manyema,Mdau Thomas na Mdau Abdalah wakifurahia kinacho endelea.
 Bibie Fatma Mcharuko mamaa wa (maruperupe) akiimba wimbo wa 'Asiekasoro ni Mungu'
Ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club, usiku wa Jumapili May 18,2014.
 Hapo ndipo kazi inapokuwa shughuli kweli kweli
 Mr. Innocent (The Don) akiwa na mkewe.
 Makamuzi yakiendelea ya Mzee Yusuf akiendelea kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi wa Linas Club, Usiku wa jana Jumapili May 18,2014
 Kwa hiki kinachoendelea ndani ya Ukumbi wa Linas ni wazi kuwa msimamo wa LIGI kwene Bend za Taarab utabaki palepale,kwa ufupi ni kwamba Jahazi wanatisha ile mbayaaa!!!
 Wallah naweza kuimba kama wewe Mzee Yusuph; 'Ni mameno ya mmoja wa mashabiki pichani'
Na kweli akapewa nafasi, Shabiki pichani na akawashanza watu kwa uwezo mkubwa alio nao kwa kuimba baadhi ya mistaari iliyoimbwa  Mzee Yusuph.
 Sasa ni  kuonyesha uwezo wa kuimba na kunengua jukwaani
 Bibie Beatrice Marwa naye alipata fulsa ya kuonyesha uwezo wake jukwaani
Mdau akijaribu mistari ya  Wimbo bora wa Taarab kwa (Wasi wasi wako) wa Mzee Yusuph
 Kama inavyo onekana pichani, Daktari wa mapenza, akistahajabu uwezo wa Shabiki wake.
Ni shidaaa na hekaheka za hapa na pale ndani ya ukumbi wa Linas
 Hiki ndicho kilichopelekea nikagundua mashabiki wa Mzee Yusuph kumbe sio wanawake tu!!
Full mkusongamana kwa mashabiki
 Mr& Mrs Mahafudhi Lushaka
Muonekano wa mashabiki waliojitokeza usiku wa Jahazi ndani ya Linas Club
 Wadau wakifuatilia burudani
 Bi Mau-Maua wa Ramadhani na Bi Devotha David maarufu  kama mtoto wa Jeans.
 Taswira ukumbini
 Sehemu ya Mashabiki wakisikilizia.
 ‘Mzee Yussuf. Nilisema Chozi la mama itakuwa Album yangu ya mwisho kwa mwaka huu sio kwamba naacha kuimba huo ni uongo”
 Mdau Abdulrazak Majid wa 88.5 Kasibante Fm Radio na Mdau Didas Kambona
 Mara baada ya show  ndani ya Club linas , anaonekana Kijana Ashmir Mzee Yusuph na Mkubwa Pedeshee Adam Gm pichani kulia, ambapo kwa siku ya Juma Timu nzima ya Jahazi watakuwa Biharamulo


Next Post Previous Post
Bukobawadau