Bukobawadau

CHECK VIDEO 1&2 BIRTHDAY PARTY YA BI RUKIA KASSIM MAWENYA MAY 2,2014

Katika kuhakikisha kuwa Mke wake anafurahia birthday yake ya kutimiza miaka kadhaa,usiku wa Ijumaa May2,2014  Sikiliza maneno matamu aliyo yatumia Ndg Abdrahim (Simba)pamoja nakufanya kufuru ya kumnunulia gari la mamilioni mke wake mpenda Bi Rukia Kassim Mawenya.(Tazama video hapa Chini)
Hii ndiyo zawadi ya Gari iliyotolewa,Gari ipo katika hali nzuri sana, inatumia Air spring,radio Car DVD Player GPS Navi bluetooth IPOD TV NAV-N7223 Nissan Murano ya mwaka 2011,kwa haraka haraka haya ndiyo niliyo yaelewa mie shuhuda wenu.
 CHECK VIDEO YA PILI NA YA MWISHO IKIWA NI SEHEMU YA ZAWADI 
Wadau wakimpongeza Bi Rukia. 
 KWA UDHAMINI WA WINDHOEK PREMIUM LAGER
Next Post Previous Post
Bukobawadau