AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy (katikati) akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata,
Shindano hilo lilifanyika usiku wa Ijumaa June 6,2014 katika ukumbi wa Da` West Park Jijini Dar es
Salaam
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy katika picha na Mshindi wa Pili wa shindano hilo Evodia Mdemu(kushoto) pamoja na Mshindi wa tatu Lightness Olomi
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy
Miss Tabata 2013 ,Doris Molel akisubiri kwa hamu kubwa kutangazwa mrithi wake
Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel aliyekaa na Warembo tano bora wa Miss Tabata 2014
Top 5 bora Miss Tabata 2014
Mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo la Miss Tabata 2013 ,Doris Molel ( kulia) akikabidhi taji hilo kwa mshindi mpya.
Sehemu ya wanahabari wakiwajibika
Mc Double A ameeza kumudu shughuli hii iliyofanyika katika ukumbi wa Da` West Park Jijini Dar es Salaam
'The mutuz' william Malecela akitangaza Top 10 ya Warembo 16 walioshiriki kwenye kinyang'anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014.
Warembo wote wakipita jukwaani kuonyesha vazi la usiku
Warembo wa Redd's Miss Tabata 2014, wakicheza shoo ya mwisho wa shindano lao.
Show ya mwisho wakiwa katika vazi la usiku
Mdau Ben Kataruga Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions mmoja wa wadhamini wa Shindano hili akiwapongeza washiriki kwa kuwapigia makofi.
Mr . Charles Hamkam ,Managing Director waCXC Africa Ltd Mshirika mkubwa wa Miss Tabata 2014
Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” ikisindikizauzinduzi wa Redds Miss Tabata2014
Twanga Pepeta wakilitawala jukwaa la Da' West usiku huu
Wadau pichani wakifuatilia kinachoendelea ukumbini
Mshindi wa Pili wa shindano hilo Lightness Olomiambaye pia ni Miss Talent
Aliyetangazwa kama mshiriki mwenye nidhamu ni Nuru Omary pichani.
William Malecela, Le Mutuzi akifuatia kinachojiri ukumbini
Wakishow Love kama kawaida
Katikati ni Mshindi wa Miss Chang'ombe 2014
Nyomi ndani ya ukumbi wa Dar West
Warembo wa Redd's Miss Tabata 2014, wakicheza shoo ya ufunguzi wa shindano lao.
Warembo wanaoshiriki kinyang'anyiro cha Miss Tabata wakiwa jukwaani kwa shoo ya ufunguzi
Salute kwako! Mkubwa Ben Kataruga
Inaendelea...................Soon!
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy katika picha na Mshindi wa Pili wa shindano hilo Evodia Mdemu(kushoto) pamoja na Mshindi wa tatu Lightness Olomi
Redd`s Miss Tabata 2014,Ambasia Maliy
Miss Tabata 2013 ,Doris Molel akisubiri kwa hamu kubwa kutangazwa mrithi wake
Redd's Miss Tabata 2013,Doris Molel aliyekaa na Warembo tano bora wa Miss Tabata 2014
Top 5 bora Miss Tabata 2014
Mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo la Miss Tabata 2013 ,Doris Molel (