Bukobawadau

AZIZ & ANIFA'S NIGHT RECEPTION HELD AT KIRAMUU HALL, MBEZI BEACH 31 MAY,2014

Love birds
 Muendelezo wa Matukio ya picha katika hafla ya kuwapongeza maharusi wetu Mr Aziz Kichwabuta na Bi Anifa Hamidu
 Bi Harusi, Anifa Hamimu katika picha ya pamoja na Kaka zake wapendwa.
 Harusi nzuri simple and stunning.Bride maid nimependa wamependeza sana na colour nzuri.
 Bi harusi na Maids wote hakika wamependeza mnoooo!!!
 The Light is lighting! hakika Bi Anifa  unawaka.!!!
 Mama Mzaa Chema , Mama Anifa Kajuguzi katika picha na mwanae mpendwa.
 Walivyojipanga Vijana wadau wapambanaji marafiki wa bwana harusi.
Ukumbini waalikwa wakipata supu kwa ajili Taswira ukumbini.
Wadau na matukio.
 Mrs Radi  akipata huduma ya chakula
 Katika kivavi anaonekana mwenyetabasamu pana Bi Jady Jadida wa Kichwabuta
 Katika Hafla hiyo vitu mbalimbali viliandaliwa ikiwemo vyakula vya asili na matunda. 
 Huduma safi ya Chakula ikiendelea.
 Mr. Radi  Rweyemamu rafiki mkubwa wa Bw. Aziz akiwa kaongozana na Mkewe na Dada yake pia.
 Muonekano wa kitu Menu si mchezo
 Sehemu ya waalikwa ukumbini
 Mh. Jeanifer Kichwabuta, na Mdogo wake Bi Jalia pichani katikati, kulia ni Mr. Mayanja.
Mama Muhazi akiteta jambo na kijana wake Albin Muhazi
 Maharusi wakipata msosi

 Wageni waalikwawakipata huduma ya msosi
 Ndg khakim akifanya yake
 Mdau Suleiman Sued
Mwanadada Jadida Kichwabuta pichani kulia.
Ndani ya Kunduchi Beach hotel,sehemu waliyo ichagua mahausi hawa kwa ajili ya fungate 
 Mr & Mrs Aziz Kichwabuta katika picha ya pozi pande za kunduchi Beach,mara baada ya tukio hili inafuatiwa kufatiwa na sherehe kubwa iliyokusanya watu kibao iliyofanyika katika Ukumbi wa Kiramuu uliopo Mbezi Beach
Muonekano wa Bi Anifa
Bi Harusi akipata maziwa 
Mr Leodgard pichani,Dereva maalum wa Gari la maharusi hawa
 Kunduchi Beach Hotel & Resort.
 Moja ya picha ya Bi Harusi akiwa fukweni.
Muonekano wa kitu Keki.
 Mzazi wa Bwana Harusi akikabidhi zawadi ya msahafu wa Qurani.
Anakabidhi pia zawadi ya daftari kwa ajili ya kuandika kumbukumbu na matukio mbalimbali.
 Mama Johari mama mzazi wa Bwana Aziz akiwa na mama yake mzazi na mdogo wake pichani
 Katika ubora wa aina yake anaionekana Mshereheshaji wa shughuli hii akibabadua moja baada ya jingine toka wageni kuingia ukumbini,wazazi,maharusi na kufungua asmi kwa Dua.
 Hivi ndivyo maharusi walivyo ingia ukumbini, "Step In The Name Of Love"
 Mama Johari baada ya kutoa pongezi kwa Mahuri
 Mama Barungi Majid Kichwabuta na mwenzake wakafurahia jambo.
 Wakifuatilia burudani ukumbini.
Burudani ya ngoma kutoka kwa vijana wa HB Entertainment.
 Ni noma Over makirikirishughuli yao jukwaani sio ya polepole
Warembo wakifurahia mbele ya camera yetu
Tembelea Bukobawadau Entertainment Media katika facebook kwa picha zaidi ya 200
 Mawifu wakiwapongeza maharusi pichani anaonekana ' Mama Maokota'
Mdau Khurash, mpambe wa bwana harusi akicheck na Bi J. Mrungi Kichwabuta
ENDELEA KUWA NASI KWA VIDEO KAMILI, PICHA KADHAA NA MAELEZO




Next Post Previous Post
Bukobawadau