Bukobawadau

BALOZI KAMALA ABAINISHA MTAZAMO MPYA WA USHIRIKIAN​O KATI YA AFRIKA, KARIBIANI, PASIFIKI NA JUMUIYA YA ULAYA

Balozi wa  Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihutubia wadau wa ushirikiano kati ya nchi za ACP na Jumuiya ya Ulaya. Balozi Kamala alisisitiza umuhimu wa nchi za ACP na Jumuiya ya Ulaya kushirikiana katika kujenga uchumi, kukuza na kutumia teknolojia kuharakisha maendeleo na kuweka mazingira mazuri ya kufanya biashara yenye kunufaisha pande zote. Wadau wa ushirikiano wa ACP na Jumuiya ya Ulaya wamekutana leo Brussels kutafakari miaka 39 ya ushirikiano.
Next Post Previous Post
Bukobawadau