BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa
Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto).
Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo
jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni
wataalamu katika taasisi hiyo