BARAZA LA WAFANYAKAZI TEWW
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera akifafanua jambo
wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu
ya Watu Wazima uliofanyika katika Ukumbi
wa WAMO Mjini Morogoro, (wa pili Kulia) ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu
Wazima Bw. Fedelis Mafumiko na (wa kwanza kulia) ni Naibu Mkurugenzi Taaluma,
Bw. Welberforce Meena (Kushoto) ni Naibu
Mkurugenzi Fedha na Utawala Bw.Edward Lugakingira.
Baadhi ya Watumishi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) akifafanua jambo wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro.
Mwenyekiti wa Baraza la Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima , Bw.Edward Lugakingira akifafanua umuhimu wa Baraza hilo, (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (wa pili kulia ni ) Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Bw.Fedelis Mafumiko na (wa kwanza kulia) ni Naibu Mkurugenzi Taaluma Bw. Welberforce Meena, wakati wa Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (waliokaa watatu
kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima mara baada ya kufungua mkutano
huo uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO
Mjini Morogoro.