BASHASHA MBELE YA CAMERA YETU
Camera yetu inakutana na Mdau Robart ( Mboma ) Mtore,yeye ni mpenzi na mfatiliaji wa mtandao wa Bukobawadau.
Vijana pichani wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Wazaliwa wa huko Wilayani Karagwe ni Aziz Voguee Aziz Omary na Hasheem Omary Said
Aziz Voguee Omary na Hasheem Omary Said ni wapenzi wa mtandao wetu wa Bukobawadau.
Akipata moja baridi moja moto ni Mdau Robart Mtore maarufu kama (Mboma) Mzaliwa wa huko Buganguzi Muleba,ni mwingi wa bashasha na maneno ya kufurahisha.
Nakutana na Wadau ndugu wa familia ya Mzee Bayona
Stori juu ya yanaendelea katika mtandao wa Bukobawadau Blog.
Mwenye tabasamu pana pichani kulia ni Mdau Raul Bayona.
Burudani ikiendelea kutoka kwa madj wenye uwezo mkubwa
Kinacho endelea ni Check! Sound Check! Check!
Uso kwa uso na Ma home boys wenye mapenzi na Bukobawadau.
Wadau wakifurahia siku kama walivyokutwa na Camera yetu
Camera yetu inakutana na ma-mc wa kila namna
Kelvin Windhoek akishow love
Meza ya Ras Arnold Kalikawe, Kitendaguro moja.
Taswira yenye kupendeza
'Ndugu habari za mida, samahani naomba nione Camera yake'; Mdau najikuta maneno yakinitoka...!
Ni Canon D4 camera yenye vigezo vikubwa,yenye thamani mara10 zaidi ya tunayoitumia Bukobawadau Blog.
Kijana Edbertious Mtawala pichani.
Mwanadada akitabasamu mbele ya Camera yetu.
Hakika ni hali ya kuridhisha na kufurahisha kutoka kwa wapeni na wafuatilia wa Bukobawadau Blog
Tunaendelea kusonga mbele kwa tofauti zetu.
Camera yetu inakutana na Kijana Wase Denise akiteta na Mdau Evodius Mtawala Mkurugenzi wa Sheria na utawala Shirikisho la soka nchini TFF
Hii tunakutana nayo kutoka kwa Profesa jay anakwambia mtu mbaya karudi tena here we goo "kipi sijasikia"
Pichani ni Kijano Chino Kitenge na Hassan B. Busta.
Watu na vivazi vyao
Sehemu ya wadau tuliokutana nao
Ndivyo wakivyo pozi kwa picha mbele ya Camera yetu.