BIRTHDAY PARTY YA MTOTO JOEY RUGEMALIRA
Tarehe 06/06/ ndio ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Mtoto Joey pichani, Mtoto wa Mdau Jerome Rugemalira na Mkewe Imelda Rugemalira |
Sehemu ya watoto wakisherekea katika Birthday ya mwenzao. Ni Sherehe iliyofana sana ambapo watoto walifurahi kwa pamoja kwa kuimba na kucheza michezo mbalimbali ikiwa ni katika hali ya kunogesha sherehe ya kuzaliwa ya Mtoto Joey wa Jerome. |
Sherehe hiyo iliudhuriwa na watu mbali mbali huku mtoto Joey akisindikizwa na Bibi yake ,yaani mama Mzazi wa Mdau Jerome ,Bi Bernadetha Rugemalira pichani
Mtoto akimlisha keki mmoja wa wadau walioshiriki
Mdau Jorome na Ndugu Joey
Wakipata mulo na kubadilishana mawazo
Watoto wakifurahia msosi
Bi Evely Rugemalira
Zawadi mbalimbali zikitolewa kwa Mtoto Joey
Mr & Mrs Jerome katika mapenzi makubwa ya Birthday Boy, mwanao (Joey)