Bukobawadau

CAMERA YETU USO KWA USO NA WADAU

 Uso kwa uso na Mdau Ben Kataruga Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions ni pale Mwanalibeneke wenu alipohitaji  kumuona na  kufanya naye  mazungumzo.
Ben Expenditions Tours& Traver,Kampuni inayofanya shughuli za Kitalii katika Hifadhi mbalimbali nchini
 Nakutana na Mdau Florence Angelo Mushana maarufu kama Bandari
 Dar es Salaam International Airport
Katika ubora wetu,upigaji picha kwa juu
 Mbele ya Camera yetu ni kijana Rosta Mishosho
Mdau Wase akicheck na Swahiba wake kimjini ,Kijana Rosta Mishosho
Mdau Alanus Cleophace Kashalaba alipofika kucheck na Mwanalibeneke.
Pande za Mesuma Hotel.
Katika zoezi zima la kuonana na Kuwatembelea watu nakutana na Mdau Sarah Said.
 Sebuleni Pub iliyopo PANDE za Bunju Jijini Dar es Salaam, inayomilikiwa na Mdau Mwanadada Mpambanaji Sarah Said
 Kidogo tu nikusimulie wakati nikipita kwa mara ya kwanza katika maeneo haya Dada Sarah
Nikapata fulsa wa kutupia Sahihi  yangu sehemu husika.
Next Post Previous Post
Bukobawadau