CAMIRA CINDY NDIYE REDD'S MISS DAR INDIAN OCEAN 2014
Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dar Indian Ocean2014 Camira Cindy ,katika picha na Mshindi wa pili Getrude Massawe (kushoto)na mshindi wa tatu Merry Shilla pichani kulia.
Hii ndio Top 5 ya Miss Dar Indian Ocean 2014
Warembo walioingia Tano Bora wakiwa katika pozi.
Tunatoa Shukurani kwa Wadhamini wakuu waliofanikisha habari hii,Ben Expenditions Tours& Traver,Kampuni inayofanya shughuli za Kitalii katika Hifadhi mbalimbali nchini
Mshindi wa tatu Merry Shilla katika Vazi la usiku
Miss Getrude Massawe,mshindi wa pili wa taji la Redd's Miss Dar Indian Ocean 2014 .
Katika vazi la usiku ni Mshindi wa taji la Miss Dar Indian Ocean2014 Camira Cindy
Anaitwa Camira Cindy Mshindi wa Miss Dar Indian Ocean2014
Mshindi wa pili akiwa katika vazi la ufukweni
Shindano hili limeandaliwa na Rahmat Entertainment wakishirikiana na Chichi Hotel litafanyika
Matukio yaliojiri katika shindalo la kumtafuta Miss Dar Indian Ocean 2014 lUsiku wa Jana Jumamosi June 7,201, Ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge.
Shukrani kubwa kwake Mdau Ben Kataruga ,Director Ben Expenditions Tours& Traver,Kampuni inayofanya shughuli za Kitalii katika Hifadhi mbalimbali nchini