Bukobawadau

CHECK SHANGWE GROOVEBACK NDANI YA EAST-24 BAR & GRILL THE ARCADE HOUSE

Huwezi kuzungumzia historia ya disco nchini Tanzania na kuacha kuwataja  Dj kelvin Twissa na Dj Peter Moe kama wanavyo onekana wakiwajibika (pichani). Hawa ni miongoni mwa DJs wachache ambao, miaka nenda miaka rudi,wamekuwa wakijizolea sifa za kipekee katika kuhakikisha kwamba mashabiki wa muziki sio tu kwamba hawabanduki stejini pindi wakiwa mitamboni bali pia wanapata “raha kamili”.
Ni shangwe ndani ya Club East 24 Bar & Grill,chini ya Dj KT,kelvin Twissa na Dj Peter Moe,”. Hali hiyo ndio imesababisha watu wengine wathubutu hata kusema kwamba ikiwa hujawahi kuhudhuria disco au shughuli nyingine yeyote yenye burudani za miziki huku udhibiti wa kule inakotokea burudani ukiwa chini ya wakali hao , basi huenda ukawa hujapata bado hiyo “raha kamili”.
Hata hivyo habari njema ni kwamba hujachelewa kwani DJ  kelvin Twissa alikuwepo, bado yupo na ataendelea kuwepo yote ni ndani ya East 24 Bar & Grill.
 Pichani ni matukio ndani ya  East 24 Bar & Grill, Mikocheni, Dar es salaam jirani kabisa na  KFC!!
 Grooveback ni shidaahh.. watu hawabanduki stejini kutokana na kunogewa na mtiririko wa ngoma/ mapini.!!
Tupo na kinywaji bora cha  Windhoek Lager
 Hawa ni wakurugenzi wa Club East 24 Bar & Grill ,Mr Jerome Rugemalira na Kelvin Windhoek
 Mwanadada Bocke pichani katikati anahusika ndani.
Hii ni zaidi ya Shidaaah
 Mchezo wa Pool ukichukua kasi kwa viwango tofauti ndani ya East 24 Bar & Grill . 
 Yupo Mdau Devi aka aka Dandu katika kufurahi na Wakurugenzi Mr Jerome na Mr Kevin
GroovebackSaturdays @ East 24 Bar, Arcade House, Mikocheni!!!!Every  Saturday; Perfomances by: Dj Peter Moe, KT, Dj Crucial, Tony & JB… Damage 10,000/-; 9pm - Till late #DON’T MISS THIS!!!
 Taste Africa’s world class beer. Windhoek Lager 100% PURE BEER…
Next Post Previous Post
Bukobawadau