KIPA 'GUILLERMO OCHOA' AMGOMEA NEYMAR:BRAZIL 0-0 MEXICO
Hii ni sehemu ya mashabiki wa Mexico
Jina Oribe Peralta lilipotajwa ,lilishangiliwa sana na mashabiki wa Mexico kama vile jina la Neymar linavyo chukuliwa na kushangiliwa na umati mkubwa wa Brazil
Mashabiki wa Brazil katika uwanja wa Estadio Castelao
'Full -Back' Mkongwepichani ni 'Legendary Cafu' akisalimiana na nyota wapya wa Brazil
Wachezaji Brazil wameimba wimbo wa taifa kwa shauku kubwa sawa na wiki iliyopita.
Mcheaji wa zamani wa Chelsea mlinzi David Luiz akiimba kwa hisia wimbo wa taifa.
Machozi yakimtoka Neymar hii ni baada ya wimbo wa taifa
Neymar akikabiliana na hali ngumu ya maumivu ,lakini hakuna kadi yoyote iliyo tolewa na muamuzi.
Hii imekuwa kaulimbiu ya mchezo hadi sasa ...ni maamuzi mabovu ya Muamuzi kutoka Uturuki aliyewahi kuwakwaza Wapenzi na mashabiki wa Man U dhidi ya Real Madrid, pale alipotoa kadi nyekundu kwa Nani kipindi cha misimu miwili iliyopita...
Kipa Ochoa anaokoa mchomo mkali wa Neymar
Eneo lenye Utata, Mlinzi Cesar anaokoa mpira na kutoka nje inakuwa GOAL Kick badala ya kona!
Nehmar akikimbizana na wachezaji wawili wa Mexico
Usiulize ni nini anachokifanya...
Fred kakatishwa tamaa kwa siku ya leo
Kiongozi ni mfano, ndivyo anavyo onyesha jitihada Mchezaji David Luiz akitokea nyuma na mpira.
Ramires (kushoto) anajaribu kumtoka beki wa Mexico Andres Guardado
Mlini wa Mexico Miguel Layun aking'aka baada ya kuchezewa vibaya na Dani Alves
Neymar anatambaa na mpira licha ya usumbufu kutoka kwa Andres Guardado
Pamoja na jihadi yote, leo Nehymar patupu
Dakika tatu za nyongeza Mexico wanakoswa koswa ni kazi nzuri Hernandezbaada ya kipa kuokoa mshomo wa Cesar.
Mashabiki wa Brail.
Mashabiki wa Brazil wakifuatilia mtanange wa Mexico
Neymar anaruka juu zaidi ya Rafael Marquez na kujaribu kutupia mpira kwa kichwa
Oscar (kushoto) na Hector Moreno pichani kulia wakionyeshana umwamba
Mcheaji wa zamani wa Tottenham Giovani dos Santos akikatishwa yake na Dani Alves
Neymar anaingia wavuni mwenyewe baada ya kukosa bao
Bernard (No 20) anajaribu kufanya kitu kwa Brazil, huku akipata pingamizi kutoka Mchezaji Oribe Peralta aliye chini katika picha
Ochoa anapata wakati mgumu kuokoa mchomo waa David Luiz pichani (kushoto) wakati huo yupo Paulinho lurk akifuatilia kwa ukaribu.
Katika Kulinganisha matukio,Baadhi ya watu wanasema alicho kionyesha kipa Ochoadhidi ya Neymar ni sawa na enzi za Gordon Banks 'dhidi ya Pele
Tukio muhimu namna kipo wa Mexico alivyo weza kuokoa jahazi
Julio Cesar kipa wa Brazil akiwajibika.
Mashabiki wa Mexico
Leo Samba limegoma kuchezeka!! mpaka mwisho Brail 0-0 Mexico.