SAMARAS ANAWAVUSHA GREECE;GREECE 2-1 IVORY COAST
Penati ya dakika za nyongeza inawatoa wapambanaji Ivory Coast,Kikosi imara kikiongozwa na Barry, Boka, K Toure, Kalou, Tiote, Gervinho, Drogba, Aurier, Y Toure, Serey, Bamba
Shangwe za shabiki wa Greece
Mashabiki wa Ivory Coast.
Hewani ni Mchezaji Sol Bamba akipata tabu anapozuiwa na Giorgios Samaras
salomon Kalou na Jose Holebas wakiwania mpira.
Konstantinos Manolas akiwa hana jinsi wala namna kwa shughuli ya Salomon Kalou
Vasilis Torosidis akijaribu kuleta changamoto kwa Mchezaji Kalou wa Ivory Coast
Drogba akiwa matatani..
Didier Drogba na Giorgos Karagounis wakiwania mpira
Greece mashabiki wa Greeze wakitoa support kubwa uwanjani
Serge Aurier akimdhibiti Lazaros Christodoulopoulos
Orestis Karnezis anapata matibabu lakini alishindwa kuendelea na mchezol
Drogba anapata kadi ya njano
GOAL! GREECE 1-0 Ivory Coast (Samaris 42)
Andreas Samaris akishangilia bao lake dhidi ya Ivory Coast(Samaris 42)
Gervinho akifanya yake uwanjani
Mchezaji wa Ugiriki Dimitris akipata tabu kutoka Yaya Toure
Arthur Boka wa Ivory Coat na Giorgos Samaras
Harakati za Drogba uwanjani.
Gervinho anajaribu kumminya Sokratis Papastathopoulos
Pichani Lazaros Christodoulopoulos na kufa Serey wakionyeshana umwambae katika nafasi ya kiungo
Mshambulia wa Ivory Coast Wilfried Bony akionyesha umakini katika haraka za kuisawazishia timu yake.
Nahodha wa Ivory Coast Didier Drogba akishangilia kwa kuonyesha hisia zake.e
Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia bao lao
GOAL! Greece 1-1 IVORY COAST (Bony 74)
Mnamo dakika 79 Ivory Coast wanafanya mabadiliki ya pili, anatoka Didier Drogba nafasi yake inachukuliwa na Mchezaji Diomandé .
GREECE 2-1 Ivory Coast (Samaras pen 90)
Serey Die anajaribu kumzuia kwa kumshika mkono Mchezaji wa Ugiriki Jose Holebas
PENALTY GREECE!!!!!!!
GOAL! GREECE 2-1 Ivory Coast (Samaras pen 90)Greece wanapata bao kwa njia ya penati ndani yadakika tatu za nyongeza.
Samaras anawavusha Greese hatua ya 16.
Shangwe kubwa kwa wachezaji wa Greece.