France: Lloris, Debuchy, Varane, Koscielny, Evra, Pogba, Cabaye, Matuidi, Valbuena, Giroud, Benzema. Subs: Ruffier, Landreau, Sakho, Cabella, Griezmann, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Remy, Schneiderlin.
FULL -TIME FRANCE 2-0 NIGERIA;GUMZO LA MASHINDANO NI KIPA VINCENT ENYAMA!!
Kiungo wa Ufaransa Paul Pogba pichani (kulia) akibadilishana mawazo na kipa Mickael msaidizi Landreau (kushoto) muda mchache kabla ya mchezo kuanza
Full line-ups from the Garrincha Stadium
Anaonekana Ludivine Sagna akifuatilia mtanange unavyo endelea
Mashabiki wa Brazil kwa moyo mmoja wanaonyesha kuwaunga mkono Nigeria ndani ya Uwanja wa Garrinch.
Kipa wa Ufaransa Hugo Lloris katika utayari wa kuzuia hekaheka za wachezaji wa Nigeria
Kwa jitihada binafsi Emmanuel Emenike wa Nigeria anacheza mpirajapo ilionekana kuwa umeshatoka nje.
Full line-ups from the Garrincha Stadium
Nigeria: Enyeama, Ambrose, Yobo, Oshaniwa, Omeruo, Musa, Onazi, Mikel, Moses, Odemwingie, Emenike. Subs: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Nwofor, Uchebo, Ameobi.
Referee: Mark Geiger (USA)
Ludivine Sagna mke wa mchezaji wa ufaransa Bacary Sagna,katika pozi na mashabiki uwanjaniAnaonekana Ludivine Sagna akifuatilia mtanange unavyo endelea
Mashabiki wa Brazil kwa moyo mmoja wanaonyesha kuwaunga mkono Nigeria ndani ya Uwanja wa Garrinch.
Kipa wa Ufaransa Hugo Lloris katika utayari wa kuzuia hekaheka za wachezaji wa Nigeria
Kwa jitihada binafsi Emmanuel Emenike wa Nigeria anacheza mpirajapo ilionekana kuwa umeshatoka nje.
kipa wa Ufaransa na nahodha Hugo Lloris anashindwa a kuokoa shuti la Emenike,na kuingia wavuni mwamuzi anasema sio bao , Emenike alikuwa ameotea.
Hali ni tete kwa mchezaji wa Nigeria Ogenyi Onazi baada ya kujeruhiwa,pichana anaonekana Kipa akiomba msaada wa huduma ya kwanza kabla ya Kiungo huyo kuinuka na kuendelea na mchezo
Kipa na nahodha wa UfaransaHugo Lloris anaokoa mpira wa hatari mbele ya Odemwingie
Mlinzi wa Ufaransa Mathieu Debuchy (kushoto)akikabiliana na Mchezaji wa NigeriaAhmed Musa
Kipa wa Nigeria Vincent Enyeama (katikati) katika harakati za kumzuia mchezaji wa Ufaransa Laurent Koscielny
Mwamuzi Mark Geiger ianamuonyesha kiungo wa Ufaransa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya mchezaji Kiungo wa Nigeria Ogenyi Onazi
Kwenye machela ni kiungo wa Nigeria Ogenyi Onazi
Karim Benzema anajaribu kulisakama lango lakini Kipa wa Nigeria Nigeria Vincent Enyeama anafanya kile kisicho weza kuelezeka na kuokoa mpira huo.
Kichwa kijana: Paul Pogba anaipatia Ufaransa bao la kuongoza kwa njia ya kichwa mnano dakika ya 79
Wachezaji wa kishangilia na kumuacha kipa wa Nigeria Vincent Enyeama na machungu
Goli la pili la ufaransa linapatikana dakika ya 90 baada ya walinzi wa nyuma kujichanganya.
Mlinzi wa Nigeria Joseph Yobo (kulia) anajichanganya na kujifunga FRANCE 2-0 NIGERIA.