SOUTH KOREA 2-4 ALGERIA;Ni KOO Nahodha wa Korea ya Kusini analeta Changamoto kwa dakika 20.
Kwa mahesabu makubwa anaonekana Mshambuliaji wa Algeria Islam Slimani akinyanyua mpira juu na kutupia bao la kwanza.GOAL! South Korea 0-1 ALGERIA (Slimani 26)
Mshambuliaji wa Algeria Islam Slimani akiunganisha mpira wa kona wavuni kwa njia ya kichwa.
Islam Slimani akishangilia bao lake dhidi ya South Korea.GOAL! South Korea 0-2 ALGERIA (Halliche 28)
Anaruka na kubanjuka kwa furaha ni mlinzi wa Algeria Rafik Halliche baada ya kupata bao la pili
Flying without wings;Mchezaji wa Algeria Abdelmoumene Djabou akishangilia baada ya kufunga bao la tatu, hali inakuwa mbaya kwa South Korea.GOAL!South Korea 0-3 ALGERIA (Djabou 38)
Mchezaji wa Korea kusini Son Heung-min akishangilia bao lake la kwanza.GOAL! SOUTH KOREA 1-3 Algeria (Son 50)
Mashabiki wa South Korea
Bao la nne kwa Algeria linafungwa na Mchezaji Yacine Brahimi .GOAL! South Korea 1-4 ALGERIA (Brahimi 62)
GOAL! SOUTH KOREA 2-4 Algeria (Koo 72)Bao la pili la Nahodha KOO wa Korea ya Kusini linaleta matumaini kwa timu yake kwa dakika 20.
Ndani yaUwanja wa Porto Alegre ni wachezaji wa Algeria wakisherekea ushindi mbele ya mashabiki wao.