Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA HARUSI YA NAJIM JAAFAR BWANIKA NA BI SAKINA ATHMAN YUSUF

Ni matukio ya Harusi ya  Bwana Najim Jaafar Bwanika, iliyofanyika Mchana wa leo Jumapili June 22,2014 Nyumbani kwao  Kijijini Kamachumu.
Muonekano wa Bibi Harusi Bi Sakina Athman Yusuf katika picha.
Mdau Noman katika picha mmoja wa waalikwa katika harusi hii.
 Anaitwa Shaffih Athman, mdau Mjini Kamachumu,tunatoa Credit kubwa kwake namna jamaa alivyojipanga vyema  kusimamia kamati ya Mapishi, pamoja na huduma safi , Kitendo cha Kuchinja ng'ombe watano tu kinatosha kukupa picha namna shughuli ilivyokuwa.
Mwanadada pichani, ndugu wa Bwana Harusi.
 Pichani ni Mama Bi Mdogo wa Haji Abbakar Galiatano
Pichani ni Mama Mzazi wa Bwana harusi, Bwana Najim Jaafar Bwanika.
 Kushoto ni Haji Ayub Kagire na Mdau Majid Kichwabuta
 Muonekano wa Mpambe wa Bi Sakina Athman Yusup
Katika picha anaonekana Mzee Hamdan wa Kemondo
 Bibi harusi Bi Sakina Athman Yusuph wake
Bwana Harusi na mpambe wake.
Pichani ni Sheikh wa Mkoa wa Kagera, Sheikh Haruna Kichwabuta na Sheikh Mustapha wa Katoro.
Mzee Pius Ngeze pichani kulia ambaye ni Mlezi na Msimamizi wa familia hii ya Marehemu Haji Jaafar Bwanika, kushoto ni Sheikh Haruna kichwabuta, Sheik Mustapha na Haji Abbakari Galiatano.
Mama mzazi wa Bwana Harusi
Wanafunzi wa Madarasa wakishusha Kaswida moja kali yenye viunjo ladha, na kusisimua.
Mama Bwanika akiendelea kufurahia MIDUNDO safi ya Kaswida.
Ni furaha ya Harusi ya Bwana Najim Bwanika  wa pili kushoto,akifuatiwa na Kaka yake Ndg Kandanda.
Katika mchakato kwa namna alivyo jipanga muongozaji na mwendeshaji wa shughuli hii.
 Sheikh akisoma Qur'an kwa uwezo mkubwa ,wingi na kwa kutosheleza .
Sehemu ya Waalikwa wakisikiliza namna 
Mkubwa wa Bwana Harusi, Mdau Kandanda akionyesha "fiq-hi"kuwa ametambua uwezo wa Sheikh huyo.
Athira ya wadau mbalimbali ukumbini.
Katika kuteta jambo na Kiongozi wa Kikundi Cha 'Kansenene'
Jamaa wapo vizuri sana wanauwezo wa kucheza kwa masaa mawili bila hata kuomba maji!!
  Ni burudani ya madufu yenye  tungo za nyimbo zenye kumsifia  Mtume s.a.w.
 Burudani isiyo na mfano over #BRAZUKA ni midundo ya Dufu 
Kwa utamu wa mashairi na kucheza ndivyo wanavyo onekana Wana ' Kansenene' katika kuwajibika.
 Uncle Salum Organizer Al Saqry na Ndugu Kandanda wakijaribu kutoa support kwa Abdulrafiu ambaye ,amepata maumivu makubwa kutokana na ajali iliyojitokeza wakati akielekea katika shughuli hii.
Mdau Abdulrafiu Bwanika akiwatunza waimbaji wa Dufu.
 Sheikh Kichwabuta naye akaamshwa na mirindimo ya madufu na sauti zenyekupendeza
 Upande wa pili wadau wakifuatilia kinachoendelea ukumbini hapa.
Tembelea 'Bukobawadau Entertainment Media'ni ukurasa wetu wa facebook utapata picha zaidi na matukio mengine mengi juu ya harusi hii na updates za habari nyingine zinazotufikia papo hapo.
 Mbele yetu ni matukio ya picha katika mnoso wa shughuli hii.
Haya ni  mapinduzi namna ya kushika ubwabwa katika shughuli...!!
Hekaheka namna zilivyo maeneo ya Jikoni.
 Pichani ndivyo mambo yalivyokuwa kuhusiana na mnuso.
 Watau wakipata msosi
 Mambo ya mnoso katika shughuli ya Harusi ya Mdau Najim Jaafar na Bi Sakina Athman .
Harakati huko jikoni...kama anavyo onekana Mdau Siraji katika upakuaji.
 Camera inapo chungulia kila eneo....
 Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo cha Dan Compyuta.
Upande wa Video alisimama kijana Godfrey Mwemezi
 Mama Rubby akimpongeza Bwana Harusi mara baada ya kukabidhi zawadi yakeHarusi
 Mama Janath Mussa Kayanda, akikabidhi zawadi kwa Bwana Harusi.
Mkurugenzi wa Dan Compyuta, akimpongea Bwana Harusi
 Bwana Najim Bwanika yeye ni Mwalimu katika chuo cha Compyuta cha Dan kilicho mjini hapa
 Wanafunzi wa' Dan Compyuta'katika picha na Bwana Najim Jaafar Bwanika.
 Fulsa kwa wanafunzi wanaofundishwa na Bwana Harusi,Bw. Najim kuweza kutoa pongezi na Zawadi yao
Neno la shukrani kutoka Dan Compyuta.
 Muonekano ukumbini.
 Sehemu ya Wadau Yupo Kashoga na Abdul Kagire
 Sehemu ya wadau waalikwa katika shughuli hii.
 Mama Jamila Songoro na Ziada Songoro

 Mdau Majid Kichwabuta
 Mzee Ayup Kagire pichani na mwane Mansuli.
Shukrani kwako mdau  popote ulipo kwa kuchagua Mtandao wetu wa Bukobawadau.
 Hakika watu ni wengi katika shughuli ya harusi hii iliyofanyika Kijijini Kamachumu
 Mdau Pichani ni mmoja wa familia ya Marehemu Haji Jafaar Bwanika.
Kushoto ni Mzee Abdul lsmail Maarufu kama' Rwabukoba Family'katika picha na Uncle  Salum.
 Wadau katika picha na Bwana Harusi , baada ya kukabidhi zawadi zao

 Mama Galiatano na Mwanae Mama Ibrahim ( Hawa )
Nimoja ya  harusi za kiislamu tulio pata kuhudhuria
 Kaka Mkubwa wa Bwana Harusi  Ndg Abdulrafiu Bwanika akitoa shukrani kwa waalikwa wote kwa hudhuria shughuli hii  pia kugusia tukio la mkasa wa Ajali iliyojitokeza kama tulivyoweza kuwajuza mapema.
 Tembelea 'Bukobawadau Entertainment Media'ni ukurasa wetu wa facebook utapata picha zaidi na matukio mengine mengi juu ya harusi hii 
 Mdau Optaty Henry Katibu pichani kulia.
 Ndugu katika Picha na Bwana Harusi
BUKOBAWADAU BLOG  tunatoa hongera kwako Mdau Najim Jaafar Bwanika na Mkeo Bi Sakina Athman Yusuph pichani,masha Allah Mola awajaalie maelewano mapenzi na Maisha Mema!






Next Post Previous Post
Bukobawadau