KATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) ASHAURIANA NA WAZIRI KIGODA
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP Alhaji Muhammad Mumuni (kulia)
akishauariana na Rais wa Baraza la Mawaziri la ACP Mhe. Dr. Abdallah
Omari Kigoda (katikati) kabla ya kuanza kikao cha pamoja cha Baraza la
Mawaziri wa ACP na Jumuiya ya Ulaya. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya
Mabalozi wa ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Waziri Kigoda yupo Jijini
Nairobi Kenya akiongoza Kikao cha pamoja cha Baraza la Mawaziri la ACP
na Jumuiya ya Ulaya.