LEO TENA NA CAMERA YETU
Leo tena na Camera yetu tupo na Mdau Ben Mulokozi ( Appetizer) na Mdau Alanus Kashalaba.
Camera yetu inashuhudia mchezo wa kurusha Tiara angani.
Ni Tiara ambazo zinachukuliwa kama michezo ya starehe
Tiara ni moja ya vitu vinavyotumiwa na watu, ni mchezo unaosemekana unapunguza
“kisirani”,ni mchezo wa kujifurahisha pia unaweza kujenga afya.
Maandalizi ya Vifaa na mavazi maalum kwa ajili ya mchezo wa Tiara majini
Sehemu ya Vijana wa kike na kiume wakiogelea
Watu wakifuatilia kwa ukaribu matukio yanayo endelea.
upepo,na kuweza kuruka angani.
Mdau Ben Kataruga akifurahia Wanavyorusha Tiara na kucheza na mawimbi ya maji.
Wengine wakiogolea na maboya yao.
Tiara hutengenezwa kwa umbo la ndege au popo.
Pichani ni Mkurugenzi Ben Kataruga akifanya mawasiliano.
Eneo la maegesho.
Michoro mingi kwenye tiara uendana na matukio mbalimbali ya kila mwaka.
Mdau Chichi akibadilishana mawazo na wadau mbalimbali
Sehemu ya Wadau kama walivyokutwa na Camera yetu.
Kulia ni Mdau Abdulrazack Byabusha akiteta jambo meza moja na Wadau.

Muonekano waTiara ikiwa angani.
Tayari kutumia nguvu na kuvuta kamba inaifanya tiara iwe na mwendo unaokinzana naupepo,na kuweza kuruka angani.