Bukobawadau

MARIO BALOTELLI KWENYE HEADLINES TENA ENGLAND 1-2 ITALY FIFA WORLD CUP 2014

Mechi ya soka kundi D kati ya England na Italia ,Nyota imeng'aa kwa mchezaji Mario Balotelli
Taswira uwanjani Wachezaji  katika hali ya utulivu kwa ajili ya Nyimbo ya taifa kabla ya Group D mechi ya soka kati ya England na Italia katika Uwanja wa Amazonia Manaus
 Mshike mshike kati ya beki wa Italia Giorgio Chiellini (kulia) na Mchezaji wa England Glen Johnson
 Ilikuwa mapema mwanzoni mwa mchezo baada ya shuti kali la Mchezaji  Raheem Sterling kuelekea nje na kupelekea mashabiki wengi kushangilia wakidhani ni bao.
  Andrea Pirlo akijaribu kufanya yake mbele ya  Mchezaji wa England, Jordan Henderson.
 Katikati yamashabiki wa Italy anaonekana Mwanadada Fanny Neguesha ambaye ni mchumba wa mchezaji wa Italia Mario Balotelli.
 Wayne Rooney (kushoto) chini ya udhibiti mkubwa kutoka wa beki wa Italy Matteo Darmian.
Mlinda mlango wa Italy Andrea Barzagli anafanya kuutoa njiani mpira uliopigwa na Mchezaji wa England Danny Welbeck na pichani (kushoto) ni Daniel Sturridge wa England akiwa juu kwa kutegemea  Kipa apoteze malengo yake.
Claudio Marchisio akiachia nduki kali iliyopelekea shangwe upande wa Italy.
 Daniel Sturridge alichukua dakika mbili tu kusawazisha kwa England.
 Daniel Sturridge pichani (kulia) katika harakati za kusawazisha
 Daniel Sturridge akishangilia bao lake kwa timu ya England.
 Tukio la ajabu na  Gary Lewin kutoka benchi la ufundi la timu ya England akibebwakwenye machela.
Mpaka  mapumziko England 1-1 Italy
 Ni  Phil Jagielka anaokoa mpira uliokuwa ukielekea nyavuni na hii kuwa salama ya England
Vile alivyo shangilia mchezaji Mario Balotelli baada ya kufunga bao la pili la ushindi wa Italy
Mario Balotelli akitupia bao la pili kwa njia ya kichwa.
 Akiangalia mbele kuona wapi pakupita ni Raheem Sterling wa Uingereza pichani (katikati)
 Njia imefungwa anaonekanaWayne Rooney akiwania mpira na Giorgio Chiellini ya Italia
Hakuna penati  iliyotolewa pale Steven Gerrard alipo banwa juu kwa juu na mchezaji Gabriel Paletta wa Italia.

 
 
Next Post Previous Post
Bukobawadau