MECHI YA KISASI SPAIN 1-5 NETHERLANDS 2014 FIFA World Cup
Pata taswira ya Mechi iliyokuwa na hisia kali kutokana na matokeo ya kombe la dunia lililopita huko Afrika ya Kusini baada ya Hispania kuwashinda Uholanzi 1-0 miaka minne iliyopita.
Mapema kabisa hali ilishakuwa tete kwa kiungo wa Hispania Xabi Alonso kama anavyo onekana akiwa chini ya ardhi.
Uholanzi wameonyesha machungu kwa kulipiza kisasi baadaya kuonyesha uwezo mkubwa na kujipatia ushindi wa 5-0 ndani ya uwanja wa Fonte Nova,chini ya kocha Louis van Gaal
Mchezaji wa Hispania Diego Costa (kushoto) katika mshike mshike na mlinzi Holland Stefan de Vrij vie
Xabi Alonso pichani (kulia) akionyesha mchezo mbaya usio mfanana kabisa. mchafu.
Xabi Alonso anaipatia timu yake ya Hispania bao la kwanza.
Xabi Alonso akishangilia bao lake lililo patikana kwa njia ya penati
Wachezaji wa Hispania wakishangilia bao la Xabi Alonso
Hekaheka anaonekana mchezaji Diego Costa wa Hispania akichezewa vibaya na Mchezaji wa Uholanzi Stefan de Vrij.
World class; Ni bonge la bao la kichwa lililosawazishwa na Mchezaji Robin van Persie.
Van Persie akishangilia bao lake mbele ya Kocha wa Uholanzi ,ni aliyekuwa mchezaji wa manchester zamani Louis van Gaal
Ilikuwa nafasi muhimu kwa Hispania pale mchezaji David Silva alipokosa nafasi ya wazi iliyo okolewa na kipa wa uholanzi Jasper Cillessen.
Mchezaji wa Holland ,Arjen Robben (wa pili kushoto) akionyesha makeke yake dhidi ya Hispania.
Mkuu faida: Stefan de Vrij (3) alama lengo la tatu Holland
De Vrij akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 3.
Van Persie katika ubora wake leo.
Haya ni Maumivu /machungu kwa ajili ya nchi yake Hispania, ndivyo anavyo onekana Mchezaji Andres Iniesta akiwa kashika kiuno mara baada ya kipenga cha mwisho.
Mchezaji wa Holland, Arjen Roben akishangilia mbele ya Bango la matokeo kwa kuonyesha ishara ya 5-1