Bukobawadau

MSANII CMB PREZZO KUWASINDIKIZA REDDS MISS GEITA JUMAMOSI JUNE 21,2014

MSANII wa muziki wa kizazi kipya 'Prezzo' kutoka nchini Kenya anatarajiwa kuwasindikiza warembo watakaoshiriki  kinyang'anyiro cha Redd's Miss GEITA 2014.
Ticket za Miss geita zinapatikana Lenny hotel, Desire park, Redrose supermarket, na VIP watapata nyama choma, toa oda ya watu 8 kwa meza moja VIP kwa T- sh 250,000 na nyama choma bure 
Contract booking number 0718 764055 / 0759 190144
Sehemu ya Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Miss Geita 2014
Pichani Kushoto ni Bad Spencer na Mwanadada Red Rose yeye ni Muandaaji wa Miss Geita
Prezzo ni msanii ambaye anafanya vizuri katika game, ladha fresh ana nyimbo kibao zinaokubalika. Basi kwa mashabaki wa Prezzo Msikose kesho Jumamosi June 21,2014 atakuwepo Liveeeee ndani ya Desire park.

Next Post Previous Post
Bukobawadau