MULLER AMUONYESHA RONALDO JINSI MMILIKI WA 'GOLDEN BOOT' ANATAKIWA KUFANYA!!
Wachezaji wa timu ya Ujerumani wakifurahia mechi kwa kile walichokifanya Uwanjani hii leo Germany 4 - 0 Portugal World Cup 2014
Jitihada za Thomas Muller kutafuta bao lake la tatu
Maswali mengi ni Jinsi gani Mchezaji Mesut Ozil atasimama katika kiungo katika mchezo wa leo? Kutokana na kile kilicho mkuta katika Msimu wa ligi na kumuweka nje ya Uwanja kwa muda
Hakika Matukio ya Muller uwanjani hayaepukiki
Jitiada za Ronaldo uwanjani azikuzaa matunda kila alipo pata nafasi sahihi
Ronaldo mwenye leseni ya kukimbia uwanja,anatamani kukabidhi kijiti
Maneno ya mashabiki
Wachezaji wa timu ya Ujerumani kwa pamoja kusherehekea (hat-trick )ya Thomas Muller (kushoto)
Macho yote yalikuwa tayari juu ya Pepe, bado alikwenda kumsukuma Muller kwa kichwa
Thomas Muller (kushoto) akipokea kiganja usoni ingawa si sana kutoka kwa Pepe.
Thomas Muller akiruka juu kabla ya kujiangusha baada ya kupatwa na mkono wa Pepe.
Muller anakwenda chini kirahisi mno, huku akishika usoni mwake.
Hoja kubwa kwa watu wengi ni wakati Pepe anamfuata Muller kutaka kujua kulikoni
Pepe anamtembezea kichapo Mchezaji wa Ujerumani Thomas Muller.
Muller ananyanyuka kwahasira kufuatia kitendo na Pepe.
Pichani kulia anaonekana Mchezaji Pepe akipokea kadi nyekundu,kushoto ni Toni Kroos akijaribu kumtulia Muller.
Heka heka za Ronaldo uwanjani
Thomas Muller (katikati) akitembeza kichapo ndani ya nyumbani Portugal na kukamilisha hesabu ya bao la tatu
Mats Hummels (pili kulia) anaipatia Ujerumani bao la pili
Furaha ya Hummels (kulia)baada ya kufunga bao inampeleka hufanya moja kwa moja kwa wachezaji wa benchi (substitutes) wa Ujerumani
Sauti ya furaha ikimtoka Muller wakati akishangilia kuifungia Ujerumani bao la kwanza 1-0 mapema mwanzoni mwa mchezo
Kwa njia ya Penati , Muller anaisafishia njia Ujerumani
Adhabu ya Muller kwa mlinda mlango wa Ureno,Rui Patricio ,ni bao la kwanza kwa Ujerumani.
Ronaldo akionyesha kuchanganyikiwa ni vipi ataweza kuisaidia na kubaki Ureno.
Shuti la Ronaldo linazuiwa na Mchezaji Hummels na kutoka nje ya Uwanja
Ronaldo uso kwa uso na Muller
Sehemu ya mashabiki uwanjani
Furaha isiyo furaha kwa mashabiki wa Ureno
Germany 4 - 0 Portugal World Cup 2014