Bukobawadau

NANI KUTWAA TAJI LA MISS DAR INDIAN OCEAN NYUMBANI LOUNGE LEO JUMAMOSI JUNE 7,2014

 Sehemu ya Warembo wanatarajia kupanda jukwaani kwa ajili ya kinyang'anyiro cha kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean 2014
Sehemu ya Warembo  watakao wania taji la Miss Dar Indian Ocean 2014 usiku wa leo kwenye shindano ambalo litafanyika katika ukumbi wa Nyumbani Lounge.
Warembo ambao mpaka sasa wamejihakikishiakushiriki shindano hilo
 Mchuano mkali wakusaka mrembo mpya wa Miss Dar Indian Ocean 2014


 Warembo wa shindano la Redd's Miss Dar Indian Ocean 2014 wakishow love mbele ya Camera yetu
 Mshiriki wa Miss Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
shindano  lakumtafuta Miss Dar Indian Ocean 2014 linaandaliwa na Rahmat Entertainment wakishirikiana  na Chichi Hotel.
 Shindano hilo litafanyika  leo Jumamoso 7/06/2014 katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Jijini Dar es Salaam.
 Mshindi wa taji la Redds Miss Dar Indian Ocean 2013, Lucy Tomeka pichani
 Watu wote mnakaribisha kuona mshiriki atakayeshinda kinyang'anyiro cha Redd's Miss Dar Indian Ocean 2014 usiku wa Leo ndani ya Nyumbani Lounge.
Who grabs the Miss Tabata 2014 Title,Tonight?
Next Post Previous Post
Bukobawadau