PATA DAKIKA 90 ZA KOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL 3-1 CROATIA
Mchezaji wa Brazil David Luiz (kushoto)katika hekaheka na Ivica Olic wa Croatia
Pata taswira kamili uwanjani yalijiri ndani ya dakika zenye thamani kubwa,Mchezaji Neymar amechungulia nyavu mara mbili na kuepuka kadi nyekundu,Neymar amefunga bao la pili kwa njia ya penalti katika dakika ya 71 ya mchezo ,
Mwanzo wandoto anaonekana Wachezaji wa Brazil Neymar (kushoto) na Fred wkisubiri kusubiri kipenga baada ya Croatia kupata bao la kuongoza
Kama dhali au unaweza kusema imetokea kimakosa wao wanasema( Error)ndivyo anavyo onekana b beki Brazil,Marcelo pichani kulia akipoteza malengo na kuipatia Croatia bao la kwanza.
Vedran Corluka wa Croatia akishangilia baada ya timu yake kujipatia bao la kwanza
Kitendo kilichopelekea MchezajiNeymar kupata kadi ya njano kwa kumchezea Kiwiko mchezaji wa Croatia Luka Modric
ALAMA ya dawa iliyokuwa ikitumiwa uwanjani kuwataka wachezaji kusimama nyuma ya mstari : hii ni (yadi 10) free-kick ya Brazil
Kwa malengo , mbinu na mipango endelevu kijana Neymar anaipatia Brazil bao la kusawazisha dhidi ya Croatia ikiwa ni umbali wa mita 25.
Ni furaha kwa wachezaji Wote wa Brazil wakiongozwana Neymar (kulia) kushangia bao la kusawazisha,
Wachezaji Croatia wakimzonga mwamuzi kwa hasira kupinga mchezo mbaya wa Neymar pale alipompiga kiwiko mchezaji Modric.
Mwamuzi Yuichi Nishimura anatoa onyo kwa Mchezaji Neymar wa Brazil (wa pili kushoto) na kumpa kadi ya njano kufuatia kumpiga kiwiko Mchezaji Modric wa Croatia
Jamani sina hatia,anaonekana akitoa ishara ya kujitetea Mchezaji wa Croatia, Ivan Rakitic baada ya ya Neymar kuanguka
Thiago Silva wa Brazil (kushoto) na Ivica Olic ya Croatia vita kwa ajili ya mpira
Mchezaji Neymar ya Brazil (kushoto) akishangilia kufunga bao lake la pili
Mchezaji Oscar wa Brazil chini ya udhibiti kutoka kwa Sime Vrsaljko wa Croatia
Pichani ni Mchezaji Hulk wa Brazil (kushoto) na Neymar (kulia) wakipasha kabla ya kuingia uwanjani
Taswira mashabiki wa Brazil walivyo ujaza uwanja wa Sao Paulo.
Neymar akipasha kwa kusikilizia maumivu ya kivundo chake cha mguu.
Mchezaji Neymar anapata wasiwasi juu ya kifundo cha mguu wakati anapasha.
Wachezaji wa timu ya Brazi wakisubiri kuimba wimbo wao wa taifa.
Kipa wa Croatia Stipe Pletikosa akisikilizia uwanjani kabla ya mechi kuanza.
Wasanii Jennifer Lopez, Claudia Leitte na Pitbull wamekuwa kivutio kikubwa wakati wa Sherehe za ufunguzi wa 2014 Kombe la Dunia ni
Burudani ya Nyimbo na ngoma kutoka kwa Wasanii katika sherehe za ufunguzi wa 2014 Kombe la Dunia
Tunataka kitu halisi ndivyo anavyo onekana shabiki wa Brazil akibusu (mfano wa kombe)au nakala ya nyara ya Kombe la Dunia ndani ya Uwanja wa Sao Paulo
Karibu Brazil, anainekana shabiki wa Brazil mbele ya Kamera wakati wa sherehe za ufunguzi
Shabiki wa Brazil akipeperusha bendera