PICHANI SIO CHUI NI MGONGO WA BINADAMU KAMA MIMI NA WEWE!!
Jamani jamani jamani nimesikitika sanaaa vile binadamu anaweza kuwa
katili kwa binadamu mwenzake.Huu mgongo unavyoonekana ni alama za
meno,kuchomwa pasi na vipigo.Why jamani?why?kwa nini umuharibie maisha
kiasi hichi mtoto wa mwenzako?
Ni msichana wa kazi amekuwa akifanya kazi kwa mama mmoja ambae ndio amekuwa akimfanyia unyama huu kwa amiaka mitatu sasa.Na ili asipate msaada kwa mtu yoyote amekuwa akimfungia ndani tu hatoki njema yaani kama mateka.Huyo boss mwenyewe naona pia sio mzima lazima ana kichaa.Ila nimeumia sana,mzazi unamtoa mwanao huko kijijini aje mjini kufanya kazi hujui hili wala lile kumbe haya ndio yanamkuta jamani.
Binti ana miaka 20 naona alikuja mjini akiwa na miaka 17.
Fatilia heka heka za leo kwenye leo tena Iijumaa ya LeoGea Habib ana taarifa kamili.

CREDIT DINA MARIOS