Bukobawadau

RAHMAT ENTERTAINMENT & CHICHI HOTEL WAANDAJI WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2014

Lile shindano  lakumtafuta Miss Dar Indian Ocean 2014 linalo andaliwa na Rahmat Entertainment wakishirikiana  na Chichi Hotel litafanyika  tarehe 7/06/2014 katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Jijini Dar es Salaam.
Pichani kushoto ni  Miss Husna Maulid aliyekuwa Miss Kinondoni mwaka 2011
 Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi ya  shindano hilo yanayo endelea katika ukumbi wa Chichi Hotel
Wanaonekana Wanyange  wanaowania taji la Miss Dar Indian Ocean 2014 wakiwa katika mazoezi ya Kutembea
Miss Husna mkufunzi wa warembo hao katika picha na mwenzake Miss Suzete.
 Katika Swaggz anaonekana Miss Husna wa Maulidi
Check Mnyange huyu  akitabasamu  mbele ya Camera yetu.
  Warembo wakiendelea  kujinoa kwa ajili ya kinyang’anyiro kinachotarajiwa kufanyika Juni 7,2014.
 Baadhi ya warembo wakifanya mazoezi ya kutembea.
 Baadhi ya warembo wakimwangalia mwezao aliyekuwa akifanya mazoezi ya kutembea.
 Eneo la tukio ni Chichi Hotel, ndivyo anavyowasili  Mdau Ben Mulokozi aka Mr appetizer (Binuzi)
Pichani Kushoto ni Bad Spencer na Mwanadada Red Rose ambaye ni Muandaaji wa Miss Geita
Wakiongea na Kamati ya  Warembo wanaowania taji la Miss Dar Indian Ocean 2014 wakiongea na Kamati ya Miss Tanzania.
 Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye akiongea machache wakati kamati hiyo ilipotembelea Kambi ya Mazoezi ya Miss Dar Indian Ocean
  Wakiendelea kuwasikiliza Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania
Pichani katikati anaonekana Miss Fatma.
Sehemu ya Viongozi Kamati ya Miss Tanzania.
SHINDANO la kumsaka Miss Dar Indian Ocean  2014 linatarajiwa kurindima katika ukumbi wa Nyumbani Lounge siku ya Jumamosi June 7,Waandaji wa shindano hilo ni Rahmat Entertainment wakishirikiana na Chichi Hotel.
 Kijana Voque Aziz Kyamani akisalimiana na Mdau Ben Mulokozi
 Kijana Mwemezi Mike Muhazi akiteta na Mr Binuzi Ben Mulokozi
 Husna & Suzete
 Kashalaba Alanus  mbele ya Camera yetu maeneo ya Chichi Hotel Jijini Dar es Salaa,
 Ndugu Wakishow Love ni Hashim & Aziz.
 Chai kwa afya ndivyo anavyo onekana Kijana Mpambanaji Aziz Voque Omar
 Wadau wakishow Love mbele ya Camera yetu
Taswira Mbalimbali  maeneo ya Chichi Hotel.
 Katika utayali ya kuchukua kasi ndivyo anavyo onekana Mdau Alanus Kashalaba
 MOJA KWA MOJA kutoka katika hoteli ya kisasa Chichi iliyopo karibu kabisa na Chuo Kikuu Huria pale Kinondoni

 Kitendo bila kuchelewa ndivyo anavyo anaonekana Mdau Ben Mulokozi aka Mr appetizer  yeye binafusi upenda kujiita Mr (Binuzi)asali ya Warembo
  Mkurugenzi wa Miss Tanzania Ndugu Hashim Lundenga akibadilishana mawazo na wadau.
 Kushoto ni Mdau Chrithoper Chichi ambaye ni Mkurugenzi wa Chichi Hotel iliyopo kinondoni B Jijini Dar
Tupo na Mlangira Focas Lutinwa.
Taste Africa’s world class beer. Windhoek Lager 100% PURE BEER…
Next Post Previous Post
Bukobawadau