Bukobawadau

MAZISHI YA MAREHEMU HAJAT FATUMA ABDALLAH MAJURA KIJIJINI KASHASHA LEO JUNE 14,2014

Kushoto ni Abdallah Majura ambaye ni Mjukuu wa Marehemu Hajat Fatuma, katikati ni MdauMbaraka Majura wakijadili jambo na Sheikh Kakwekwe (kulia) muda mchache kabla ya Mazishi.
 Mdau Haruna katika hali  ya simanzi kwa kuondokewa na Shangazi yake Mpendwa.
 Sehemu ya waombolezaji msibani hapa.
Katika picha anaonekana Jalia Majura mmoja wa watoto wa Marehemu Hajat Fatuma.
 Sehemu ya wafika wakitafakali hili na lile,.
Sehemu ya wanafamilia katika kikao kidogo.
 Kikao kidongo cha wanafamilia kikiendelea..
 Upande wa pili ni Jamaa na Marafiki wa familia waliofika kuwafariji wafiwa
 Kulia ni Mama Nyamwihula rafiki wa Marehemu Hajat Fatuma Abdallah Majura
Mdau Dr. Amini wa Kijijini Kashasha, yeye ni rafiki wa karibu wa familia hii.
Ni majira ya Saa nne Asubuhi, bukobawadau tukiwa moja kwa msibani hapa katika kupata ili na lile kabla na baada ya Mazishi, Kinachoendelea ni  zoezi lile lenye taaluma maalumu  ni ushonaji wa Sanda .
Maendeleo ya awali  katika zoezi la kushona sanda
 Uchimbaji wa Kaburi
 Mzee Kabyemela pichani
Sehemu ya waombolezaji muda mchache kabla ya Shughuli ya Mazishi kufanyika.
 Mlangira Emmanuel  wa Bukoba Club akiwasili msibani hapo
 Sehemu ya Wadau waliofika Kuwafariji Wafiwa.

 Kijijini Kashasha ni matukio ya picha ilivyokuwa shughuli ya Mazishi ya Marehemu Hajat Fatuma.
 Utapata kuona Sehemu ya Video, Chini kabisa mwishoni mwa habari.
Ndugu na jamaa waliofika kuwafariji wafiwa .
 Wadau pichani yupo Mzee  Nyangasha Sadru na Mh. Kaka yetu, Mwalimu MjuniJoseph Katalaiya
Ni shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Fatuma Abdallah Majura iliyofanyika jioni ya leo Jumamosi June 14,2014 Kijijini Kashasha Kata ya Kanyigo Wilayani Missenye
 Ibada ya kuhuswalia mwili wa Marehemu Ma Fatuma iliongoza na Sheikh Mustapha.
 Dua'a Ya Kumuombea Marehemu wakati wakuswakiwa (156) ... Ewe Mwenyezi Mungu usitunyime thawabu zake wala usitupoteze baada yake”.
 Shughuli ya Maziko ikiendelea
Sheikh Haruna Kichwabuta akiweka  udongo Kaburini
 Anaonekana Haji Kazinja pichani.
 Zoezi la kuweka Udongo kaburini likiendelea.
 Balozi Ngemera akiweka udongo kaburini
Video juu ya kilichojiri  msibana hapa, historia ya Marehemu na Maneno ya Sheikh inapatikana juu ya habari hii ukurasa wa mwanza .
 Sehemu ya wanawake pembeni kabisa msibani hapa wakati mazishi yakiendelea..
 Taswira  shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Fatuma Abdallah Majura ikiendelea
 Hakika ni Allah  pekee ndiye wa kukusudiwa,anaonekana Sheikh Kakwekwe akisoma Kunuti katika kaburi la Marehemu Hajat Fatuma Abdallah Majura
 Ndugu Siraji Kichwabuti akishiriki maziko hayo.


 Mama Farida Katika hali ya Usikivu wakati Historia  ya Marehemu ikitolewa.
 Mbaraka Majura ambaye ni Mtoto wa  Marehemu Hajat Fatuma Abdallah Majura.
 Mdau Abdallah Majura
 Ndugu Siraji Majura, mjukuu wa Marehemu Hajat Fatuma Abdallah Majura
 Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha zake kama utavyo weza kuona na kusikia Via Vedeo.
 BUKOBAWADAU BLOG tunatoa pole kwa wafiwa wote tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu apate kumurehemu na kumpa msamaha wa dhambi zake zote na kuilaza roho yake mahali pema peponi Amina!
 Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Pata kuona Video 1 na 2 Shughuli ya Mazishi ya Marehemu Hajat Fatuma Majura hapa Chini.
SEHEMU YA PILI YA VIDEO
Next Post Previous Post
Bukobawadau