SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!
Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania
Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii
Diva wa Skylight Band Digna Mbepera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu
Meneja mwenyeweee Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao Mpya Pasua Twende.
Wanamwita Sam Mapenziiiii(sukari ya warembo)akiimba kwa hisia kaliiii ndani ya Thai village Ijumaa iliyopita.
Anaitwa Donodeeee(serengeti boy)akipiga mavocal makaliiiiii
Mkali wa Viduku Donode(kushoto)akiwa na Joniko Flower a.k.a mutu ya congo
Mzuka ulipopanda mashabiki hawa wakiongozwa na Jembe ni Jembe Hawakusita kuwatunza wanamuziki wa Skylight Band kwa muziki mzuri waliokuwa wakipiga
Hiii ni Furahaaa isiyo na kifani kabisa,,,,,Huyo Ni Jembe ni Jembe Mwenyewe akipagawa na mziki mzuri toka kwa vijana wake
Mmiliki wa Skylight Band Dk Sebastian Ndege(Jembe ni Jembe)akipiga makofii mara baada ya kumtunza fulana kaliiii mwimbaji wake Digna Mpera ikiwa ni moja ya zawadi ya uzinduzi wa wimbo wao mpya
Baba ya Kongo Joniko Flower Kushoto akiwa na Sam Mapenzi(katikati) Na Sony Masamba(kushoto)wakifurahia ala nzuri kabisa zinazopigwa na wapiga vyombo wa Skylight Band |
Weweeee Hapo Mmiliki wa Bendi ya Skylight Dk Sebastian Ndege hapo akaamua kushika Kipaza sauti mwenyewe nakuanza kuimba kwa ustadi mkubwa,nani Kasema Jembe ni Jembe anashindwa kitu
Jembe ni Jembe akiiimba kwa hisia kaliii kabisa akipewa sapoti na Hashim Donode(kushoto)na Aneth kushaba(kulia)
Jembe ni Jembe kaziniiiii anaendelea kupiga Vocal kaliiiii
Weweeeeeeeeee Hapo ni Mdau mkubwa wa Skylight akimtunza Sam Mapenzi baada ya kukunwa na vocal kaliiiii anazotoaaaa
Hapo sasa Dk Sebastian Ndege akaamua kuanza kuyarudi mastep pamoja na vijana wake,njooo njooo leo paleeee Thai Village upate ile kitu Roho inapenda
Wewe weweee Jembe ni Jembe akiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wake
Hapo hiiii Inaitwaa inama inukaaaa inama inukaaa zungsha kiuonoooo
Usiguse kabisa moto wa Jembe Ni Jembeee si unaona vitu vyakeeeee hatariiiiii
Back stage Divas wa Skylight Mary Lukos(kushoto) Aneth Kushaba(katikati) na Digna Mpera(kulia) wakipata Ukodak wa nguvuuuuu
Mashabikii wa Skylight Band Wakifurahiaaa kupata Picha ya pamoja
Mdau wa Skylight Band Akishow Love na Meneja wa Band Aneth Kushaba
Jembe ni Jembe akishow love ya kutosha na Petit man Wakuache alipokuja kusapoti uzinduzi wa wimbo mpya wa Skylight Band
Beny Kinyaiya naye alikuwepo kushuhudia uzinduzi wa wimbo mpya wa Skylight Band Ijumaa Iliyopita ndani ya Thai Village
Ulipofika wakati wa Uzinduzi wa wimbo mpya Mmiliki wa Skylight Band Akapanda Jukwaani kutoa neno la Shukrani kwa wapenzi na mashabiki wao
Jamani kaka Seba Anaongea maneno mazuriiii kweliiii.hao ni wadau wa Skylight wakifurahia ujumbe uliokuwa unatolewa na Dk Sebastian Ndege
Wowwww maneno mazuriii kabisaaa wadau wakimshangilia Dk Sebastian Ndege kwa maneno Mazuriiiii
Basi sasa MAshabiki wakaendelea kupata Burudani kaliiii kabisaaaaaaa.
Dahhhhh JAmaniii Skylight ni balaaa
Hahahhaha Wewee iyo inaitwa kikukuu stailiiiiii Njooo leo upate Raha
Hapyyyyyy Happyyyyyyyyy yani ni Furahaaaa tupuuuuuu
Jembe ni Jembe akiwaimbisha mashabiki wakeee hahahah rahaaa kweliiii
Nipeee tanooo we mkaliiii sanaaaaaa
Hayaaa Imbaaa Imbaaaa sasa hapo ni Jembe ni Jembe akifurahi na shabiki wake
Mashabiki walitunzaaaa vya kutoshaaaa
Back stage nakoooo vijanaaa waliwashaaaaa motooooo wwkiongozwaa na meneja Aneth Kushaba
Shabiki huyu mwenye fulana nyeusi akajiunga na wanamuziki wa Skylight Band Kufurahiaaa
Mwana Manyoyaaa akimwambia meneja Anetha Kushaba na Ijumaaaa hiiii Patawakaaaa motoooo Usikoseeeeeee hawa ndio Skylight Bwana Always Follow the light