TANGAZO NAFASI ZA AJIRA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2013/2014
OFISI
YA MKUU WA MKOA WA KAGERA INAWATANGAZIA WATAALAMU WA KADA MBALIMBALI ZA
AFYA KUWA BADO KUNA NAFASI ZA AJIRA
ZILIZOTANGAZWA NA KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KATIKA SEKRETARIETI
ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA.
BARUA
ZA MAOMBI ZIANDIKWE KWA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUWASILISHWA KATIKA OFISI
YA MKUU WA MKOA AU OFISI ZA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZA MKOA WA KAGERA
KABLA YA TAREHE 20/06/2014
KWA
MAELEZO ZAIDI KUHUSU VIGEZO VYA WATAALAMU, WATAALAMU WANAOHITAJIKA, MIKOA NA
HALMASHAURI ZA WILAYA WANAZOTAKIWA KUCHAGUA KUFANYIA KAZI TAFADHALI TEMBELEA
MBAO ZA MATANGAZO ZA OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERA NA HALMASHAURI ZA
WILAYA ZA MKOA WA KAGERA
UPATAPO
TAARIFA TAFADHALI MJULISHE NA MWENZAKO
Imetolewa na: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
S.L.P 299
BUKOBA