TANZIA;MAMA MZAZI WA MBUNGE ZITTO KABWE, SHIDA SALUM AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu
Tanzania (CHAWATA).Bi Shida Salun,na Mjumbe wa kamati Kuu ya chama cha
CHADEMA,aliyekuwa amelazwa chumba cha Wagonjwa wanaohitaji uangalizi
maalum (ICU),katika Hospitali ya AMI,Masaki jijini Dar,ameaga Dunia.
Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama yake amefariki dunia leo.
Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama yake amefariki dunia leo.