DAKIKA 120 GERMANY 2-1 ALGERIA
Tunaweza kufanya hivyo tena:Mashabiki wa Algeria wakionyesha matumaini yao uwanjani.
Wachezaji wa Ujerumani wakiwa wamejipanga kwa ajili ya wimbo wa Taifa.
Sehemu ya mashabiki wa Algeria uwanjani, Mpaka dakika ya 90 kipindi cha kwanza timu zote zilikuwa sare ya bila kufungana , na kusababisha muda uongezwe hadi dakika 120
Mchanganyiko kimazingira anaonekana Shabiki wa Ujerumani akipeana busu na Shabiki wa Kibrazil ndani ya uwanja Estadio Beira-Rio
Shabiki wa Algeria aliyevamia uwanjani anatolewa kimya kimya.
Shabiki wa Algeria aliyevamia uwanjani wakati timu yake inafanya mazoezi ya kupasha misuli,anakimbizwa na mmoja wa wanausalama uwanjani
Wachezaji wa Algeria timu wakipeana mikakati ya kiuchezaji muda mchache kabla ya mechi hatua ya 16 dhidi ya Ujerumani
Uwanjani anaonekana mwanadada Ann-Kathrin Broemmel, ambaye ni mpenzi wa Mchezaji wa Ujerumani Mario Gotze .
Hali ya Mvua na mawingi inaonekana kutanda usawa wa uwanja wa Estadio Beira-Rio
Anafanya kweli kipa wa Algeria Rais M'Bolhi kudaka mpira wa hatari kutoka kwa Mshambuliaji wa Ujerumani Thomas Muller pichani katikati.
Iilikuwa ni Bao safi la kichwa lililofungwa na Mshambuliaji wa Algeria Islam Slimani pichani (kulia) kama anapiga mbizi vile, limekataliwa baada ya kuonekana ameotea.
Faouzi Ghoulam anapoteza nafasi licha ya changamoto anayoipata kutoka kwa mchezaji Mesut Ozil .
Kocha wa Algeria Vahid Halilhodzic anarudisha mpira uwanjani , baada ya kuwa umevuka
Hatari kwa Algeria, Kipa Rais M'Bolhi anaokoa mpira ukiwa usawa wa mwamba.
Kipa Rais M'Bolhi wa Algeria anaokoa mpira wa hatari kutoka Mario Gotze ambaye amengia baada yamabadiliko yaliyofanyika kipindi cha pili kwa Ujerumani.
Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer akikabiliana uso kwa uso na Mshambuliaji wa Algeria Islam Sliman .
Kiroho safi wanaoneka wakiwa wametulia! ni MwanadadaAnn-Kathrin Broemmel (kushoto), mpenzi wa Mchezaji Mario Gotze na Montana Yorke,ambaye ni Mpenzi wa Mchezaji Andre Schurrle kwa pamoja wakifutilia kinachojili ndani ya uwanja waEstadio Beira-Rio
Kipa wa Algeria Rais M'bohli (katikati) anaokoa mpira wa kichwa kutoka kwa mchezaji wa Ujrumani Beki Shkodran Mustafi pichani (kushoto)
Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer anaokoa na kuanzisha mashambulizi haraka
Rais wa FIFA Sepp Blatter (kushoto) akionyesha kiatu alichokabidhiwa kabla ya kukamilika hatua ya 16
Kipa wa Algeria Rais M'Bolhi (kushoto) anaokoa kazi ya kichwa cha Mshambuliaji Thomas Muller namba (13)mgongoni
Goooal ni mchezaji Andre Schurrle wa Ujerumani anaipatia timu yake bao la kwanza mwanzoni mwa dakika 30 za muda wa nyongeza.Ujerumani 1-0 Algeria
KipaManuel Neuer (kushoto) na Miroslav Klose akipongezana