HAPPY BIRTHDAY KWAKO MWANADADA NANCY!
Kwa umuhimu na kwa Maudhui yetu kuna watu kuwatakia heri ya siku ya kuzaliwa kupitia Facebook wall yao pekee ni sawa na utovu wa nidhamu!!
Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunakutakia kila la heri kwa siku hii na katika maisha yako kwa ujumla.
Siku ya leo iwe yenye furaha kwako wewe binafsi pamoja
na familia yako pia,Mwenyezi Mungu akulinde katika
kuendeleza harakati zako za kimaisha kila siku!!