Bukobawadau

TASWIRA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 KIFO CHA MA'ROOZA BENEDICTO KATANYEBILE

Leo tarehe 17, June 2014 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 5 ya kifo cha Marehemu Ma Rooza Bebedicto Katanyebile
  Ibada ya kumbukumbu ya Miaka mitano ya kifo cha Marehemu Ma Roosa Benedicto Katanyebile imefanyika nyumbano kwake Kijijini Kamachumu- Amchwezi
Maadhimisho ya Ibada ya kumbukumbu ya miaka 5 ya kifo cha Ma Roosa Benedicto Katanyebile yamehudhuriwa na idadi kubwa ya watu kutoka maeneo mbalimbali
Haji Abbakari Galiatano pichani kushoto ni mmoja kati ya waliohudhuria Ibada hiyo, Iliyo ongozwa na Askofu Samson Mushemba mkuu wa KKKT mstaafu pichani kulia.
 Erick Tabora na Namala Tabora pichani wao ni wajukuu wa Marehemu Ma Rooza Benedicto
 Kushoto ni Beneth Benedict katika picha na Mama Benedicta Rugemalira
 Sehemu ya watu walioweza kuhudhuria Ibada hiyo
 Mapema Askofu  Mkuu Mstaafu wa KKKT ,Askofu Samson Mushemba aliyekuwa akiongoza misa ya kumbukumbu ya kifo cha Ma Rooza alisema  umati wa watu waliokuja kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 5 ya kifo cha Ma Rooza Benedicto Katanyebile ni kielelezo cha sifa ya kwanza aliyokuwa nayo ya kumcha Mwenyezi Mungu na nyingine ikiwa ni kujali utu na watu aliokuwa nao kama marafiki , majirani na kila aliyefahamiana nae.
Familia yatekeleza na kuahidi yale aliyo yafanya Mama yao,familia imekabidhi kiasi cha fedha kama mchango wa Ujenzi wa nyumba ya Mchungaji unao endelea kijijini hapa pia imeahidi kuwa mlezi wa Kikundi cha Kwaya kilichoshiriki katika Ibada hiyo.
 Mama Benadetha Rugemalira amewedha kukabidhi kiasi kadhaa cha fedha taslimu na kuahidi kuwa mlezi wa kikundi cha kwaya.
Mama Benadetha Rugemalira akendelea kuongea kwa niaba ya familia.
Mchungaji na Askofu mstaafu wakimpongeza na kumshukuru Mama Benedicta Rugemalira 
 Wanakwaya walioipamba ibada hiyo
 Nyimbo za mapambio zikiendelea kusikika
 Ibada Ikiwa inaendelea
Watu mbalimbali walijumuika na familia ya Marehemu Ma Rooza Benedicto Katanyebile.
 Bi Evelyn Rugemalira
 Mr & Mrs Abas Byabusha wakishiriki Ibada hiyo
 Waumini wakiendelea na Ibada hiyo.
 Taswira ukumbini Shughuli ya Idaya ikiendelea
 Ibada ya  MaRoosa Benedicto aliyekuwa Mcha Mungu na kuwajali watu ikiendelea kuongozwa Askofu  Mkuu wa KKKT mstaafu ,Askofu Samson Mushemba
Ibada ikiendelea 
 Kushoto ni Ndg Dickson na Mdau Justus Mushemba
 Muendelezo wa matukio katika Shughuli ya Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 5 kifo cha Marehemu Ma Rooza Benedicto Katanyebile
 Zoezi linalofuata ni kuelekea eneo la makaburi kwa ajili ya kuweka mashada ya maua.
 Tayari eneo la makaburi
Shughuli ilianza kwa  Somo ikafuatia na ukimya kabla ya kuweka shada la maua kabla ya kuweka mashada ya maua katika makaburi
 Askofu  Mkuu wa KKKT mstaafu ,Askofu Samson Mushemba
 Askofu  Mkuu Mstaafu wa KKKT ,Askofu Samson Mushemba mara baada  ya kuweka shada la maua katika Kaburi la Marehemu Ma Rooza.
Baada ya Askofu akafuatia Mrs Generoza Tabaro ambaye ni mtoto wa marehemu
Mjukuu mkubwa wa Marehemu Ma Rooza, Be Evelyn Rugemalira akiweka shada la maua katika Kaburini.
 Mama Benedicta Rugemalira akielekea katika moja ya makaburi yaliopo hapa
 Anaweka shada la maua katika kaburi la Watoto wa Kaka yake, Marehemu Benezeth.
Utaratibu wa kuweka mashada katika makaburi ukiendelea
Vijukuu navyo vimeweza kushirika katika zoezi hili
 Muonekano wa Kaburi la Marehemu Ma Rooza Benedicto Katanyebile.
Eneo la makabari lilipo shambani Nyumbani kwa familia ya Marehemu MaRooza Katanyebile
 Mzee wa Kanisa la Bulembo Kamachumu akitoa neno kwa niaba ya Kanisa
 Mrs Generoza Tabaro ambaye ni mtoto wa Marehemu akitoa neno la shukrani kwa watu wote walioshiriki katika Ibada ya Kummbukumbu ya Miaka 5 ya kifo cha Marehemu mama yake mpendwa.
Maneno ya mwisho kutoka kwa mchungazi wakati wa kukamilish Ibada hiyo
 Zoezi la mnada kwa ajili ya kuchangia kanisa limefanyika.
Zoezi la mnada likiendelea.
 Muda wa kumata mulo
 Huduma safi ya Chakula kilisho andaliwa na Kampuni ya Mama Shamila' Barungi'
Mdau Erick akipata huduma ya chakula
Anaonekana Namala katika kupata huduma ya chakula
Sehemu ya watu waliohudhuria katika shughuli hii wakipata Msosi
Nadri na Jo ambao ni wakipata huduma ya Chakula
 Bi Evelyn katika tukio la kupata chakula
  Mama Benedicta Rugemalira na Ndg Beneth Benedict wakipata huduma ya chakula
Picha zaidi ya 200 za matukio ya shughuli hii zinaparikana katika Ukurasa wetu wa facebook.
Namala na Erick wakibadilishana mawazo wakati wanaendelea kupata Chakula
 Sehemu ya Wanakwaya.
 Sehemu ya wadau wakielekea kupata Chakula.
Katika Utaratibu mzima wa kupaeana maangalizo
 Mama Byabusha akiteta jambo na Bi Evelyn Rugemalira
Bibi akiteta na mjukuu wake.
Kushoto ni Askofu  Mkuu wa KKKT mstaafu  ,Askofu Samson Mushemba katika picha ya pamoza na Dr Abas Byabusha na Mama Benedicta Rugemalira
 Mama Benadetha Rugemalira na Mdogo wake  wakiwa katika kaburi la marehemu mama yao mpendwa Ma' Rooza Benedicto Katanyebile
Bi Evelyn Rugemalira katika picha ya kaburi la Bibi yake Mpendwa.
Matukio ya picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
 Mama Mama Benedicta Rugemalira katika picha ya kumbukumbu na Mke wa Askofu akiwepo na Askofu  Mkuu wa KKKT mstaafu  ,Askofu Samson Mushemba (katikati) 
Familia ya Abas Byabusha katika picha ya kumbukumbu na Askofu Samson Mshemba
 Ndg Dickson na Evelyn.
 Katika hili na lile wakati shughuli inaendelea.
 Maadhimisho ya kumbukumbu ya Miaka 5 kifo cha Marehemu Ma Rooza Benedicto Katanyebile
 Mama Benedicta Rugemalira
Mdau Beneth Benedict
 Mrs Generoza Tabaro katika picha na Haji Abbakari Rajab Galiatano mzee wetu mpendwa
Mzee wetu Haji Abbakari Galiatano katika picha ya kumbukumbu na Askofu Mkuu wa KKKT mstaafu,Askofu Samson Mushemba (katikati)na MamaBenedicta Rugemalira
 
Next Post Previous Post
Bukobawadau