ARGENTINA WANASHINDA KWA PENATI 4-2 DHIDI YA NETHERLANDS
Anapunga mkono na kujiamini ni Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal akiingia Uwanjani wakati wa kupasha.
Mbele ya Camera na mashabiki wa Argentina.
Kulikuwa na mengi uwanjani , mashabiki wa Argentina wakiendeleza mzaha dhidi ya kichabo cha Brazil walipodhalilishwa 7-1 na Ujerumani katika mchezo wa nusu fainali uliopita
Mashabiki wa Argentina wakionyesha vidole Saba.
Seven up:Ndiyo habari kubwa duniani kote ,pichani ni mashabiki wa Argentina wakipozi mbele ya Camera na kuonyesha vidole Saba ikiwa ni kuwabeza Brazil kwa matokeo ya nusu fainali ya Usiku wa jana
Mashabiki wa Argentina wakipeperusha bendera inayo waonyesha mashujaa wao wa Soka ambao ni Maradona na Messi
Mashabiki wa Argentina wakionyesha Bango la Lionel Messi lenye mfano wa Sanamu la Kristo Mkombozi
Sehemu ya Mashabiki wa Uholanzi wakifurahi ndani ya Uwanja wa Sao Paolo.
Pichani anaonekana Shabiki wa Argentina akitoa Ishara flani ndani ya Uwanja Sao Paulo
Ile kibongo bongo tunasema leo tunachinja chinja, Ni Ishara kutoka kwa Mashabiki wa Argentina wakiwa Wamevalia Maski za wachezaji wa zamani Diego Maradona (kushoto) na Claudio Caniggia (kulia)
Mashabiki wa Argentina wakiwa wamevaa kofia zao zenye picha yanahodha na Lionel Messi (kushoto), na mchezaji wa zamani Diego Maradona
Nahodha Robin van Persie wa Uholanzi (kushoto) na Lionel Messi wa Argentina katika picha na Waamuzi wa mchezo huu.
Kikosi kazi cha Majemedali wa Argentina
Kikosi Kamili cha wachezaji wa Uholanzi kilichotegemewa kuleta mavuno mwaka 2014
Dakika chache za ukimya kwa ajili ya heshima ya Alfredo Di Stefano, ambaye alikufa wiki hii
Wachezaji wa timu zote mbili wakiwa wamesimama na kutoka heshima kufuatia kifo cha Alfredo di Stefano
Kiungo wa Argentina Enzo Perez pichani (kulia) akijaribu kuchukua mpira dhidi ya Beki wa Uholanzi Bruno Martins Indi
Anaonekana Mchezaji Arjen Robben wa Uholanzi katika purukushani Uwanjani,chini ya hudhibiti wa Pablo Zabaleta mwenye jezi namba(4) na Lucas Biglia wa Argentina
Mshambuliaji na nahodha wa Argentina Lionel Messi akipiga mpira wa adhabu (free-kick)
Georginio Wijnaldum akijaribu kumuinua Javier Mascherano aliye anguka baada ya kutokea mgongano wa vichwa kati yao.
Kipa wa Argentina Sergio Romero pichani (kushoto) anaokoa mpira
Kiungo wa Uholanzi Georginio Wijnaldum pichani (kushoto) akimchezea vibaya Mchezaji wa Argentina Javier Mascherano
Mchezaji Javier Mascherano wa Argentina anapata matibabubaada ya kuumia.
Gonzalo Higuain (kushoto) akipigwa kichwa na Mchezaji wa Uholanzi Daryl Janmaat
Ni kama Wengi hatupo kutokana na mabao matano ya kipindi cha kwanza mchezo wa Jana ukilinganisha na usiku wa leo mpaka mapumzio tunashuhudia shambulizi moja tu kuelekea golini .
FULL-TIME: Argentina wanashinda kwa Penati 4-2
Mchezaji Gonzalo Higuain anapoteza nafasi ya wazi baada ya kupiga mpira nje ya lango
Anaonekana Mchezaji wa Argentina Higuain akisikitika kufuatia nafasi ya wazi aliyo poteza katika muda wa nyongeza
50-50:kati ya Daryl Janmaat na Lucas wakigombania mpira na kusababisha mkanganyiko wa miguu
Nje ya Uwanja wa Sao Paulo Nahodha wa Argentina Lionel Messi anaongoza maadhimisho ya kutinga Fainali ya Kombe la Dunia ikiwa ni baada ya miaka 24.
Anaonekana Veteran kipa wa zamani wa Uholanzi Edwin van der Sar
Netherlands 1-3 Argentina Sergio Aguero scores
Muonekano wa vifaa chumbani kwa Messi.
Nywele zinawasha hatua ya penati Netherlanda 1-2 Argentina Ezequiel Garay scores

Netherlands 2-4 Argentina Maxi Rodriguez scores
Kwa picha za matukio nasi ungana nasi katika ukurasa wetu wa Facebook.
Netherlands 1-2 Argentina Wesley Sneijder saved
Arjen Robben akijaribu kumtoka Mchezaji Martin Demichelis wa Uholanzi50-50:kati ya Daryl Janmaat na Lucas wakigombania mpira na kusababisha mkanganyiko wa miguu
Netherland 1-1 Argentina Arjen Robben scores
Kipa wa Argentina Sergio Romero anaudaka mpira kwa utulivu mkubwa na kumuacha Mchezaji wa Uholanzi Georginio Wijnaldum akiwa hana jinsi zaidi ya kushika kichwa
Netherlands 0-1 Argentina Lionel Messi scores
Nahodha wa Uholanzi Robin van Persie anajaribu kujiweka sawa kabla ya kuendelea na muda wa nyongeza
Ukodak unamuonyesha Kocha wa Argentina Alejandro Sabella akizungumza na wachezaji wake kabla ya muda wa ziada,Hoja ni kwa nini mkono wa Mascherano unaonyesha kumzuia kocha wake.
Ezequiel Lavezzi anaonekana akienda chini,katikati ni Stefan de Vrij na Dirk Kuyt (kulia) katika utata wa mpira uwanjani
Mwamuzi kutoka Uturuki Cuneyt Cakir anamuonyesha kadi ya njano beki wa uholanzi Bruno Martins Indi
Netherlands 2-3 Argentina Dirk Kuyt scores
Arjen Robben anashangilia bao la penati yake
Argentina wanaingia Fainali ya Kombe la Dunia baada ya miaka 24
Kipa Sergio Romero anaokoa penati ya Ron Vlaar na kupeleka ushindi kwa Argentina 4-2
Bila kufanya kosa Maxi Rodriguez anatupia wavuni penati ya nne na kuandika historia kwa Argentina
Furaha kwa Argentina dhidi ya Uholanzi kupitia sheria ya matuta baada ya mkwaju wa Maxi Rodriguez
Maxi Rodriguez anapangua penati Jasper Cillessen,mpira unagonga mwamba na kuingia wavuni
Furaha kubwa na shangwe kwa wachezaji wa Argentina wakikimbia kila kona kusherehekea ushindi wao
Sergio Aguero na Marcos Rojo kusherehekea pamoja na umati mkubwa wa Mashabiki
#Kipa Sergio Romero anaokoa Penati kutoka kwa Ron Vlaar na Wesley Sneijder na kupelekea ushindi kwa Argentina.
#Nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014 Argentina 4-1 NetherlandsNje ya Uwanja wa Sao Paulo Nahodha wa Argentina Lionel Messi anaongoza maadhimisho ya kutinga Fainali ya Kombe la Dunia ikiwa ni baada ya miaka 24.