NANCY'S 21st BIRTHDAY PARTY @TRANSIT HOTEL
Nancy's 21st Birthday Party!
Birthday Girl Nancy Nas Katika pozi.
Birthday Girl Nancy in (Pink)akiwa na marafiki zake wakisubilia Wageni waalikwa.
Wakiendelea kufurahishwa na maneno ya Mshereheshaji.
Wifi yake na Nancy Nas, namaanisha mke wa Kaka yake Bi Ade akifuatilia kinacho.
Ni matukio ya siku ya kuzaliwa Mwanadada Nancy Nas,Endelea kuwa nasi
Miss Tete Augustine pichani
Mwanadada Dyner Van Jimmy binafsi upenda kulitaja jina lake kwa kifupi yaani 'Dj '
Birthday Girl Nancy Nas (Nafsa) katika picha na shost yake Aine Kishah aka Kish Kish.
Ukadak ukiendelea
Mwanadada Aida na Bibie Anna pichani kushoto
Tayari viti vimeenea na Wahudumu wakiendelea kupita pita.
Anaingia Mnyamwezi pichani kulia kama anavyo onekana akikaribisha na Kijaana Mkhusini
Sherehe inafunguliwa na Mgeni Rasmi Mr Christopher Meneja wa The Walkgard Transit Hotel,sehemu ilipo fanyika shughuli hii.
Aine Kishah Kish Kish ukipenda waweza kumwita 'Sweet -Akeel'
Furaha ya kutimiza Miaka 21, Tayari mishumaa ya Keki ya Birthday imewashwa anaonekana Birthday Girl katika furaha ya kutimiza miaka 21.
Weweeee! hivi ndivyo anavyo onekana Nancy akiwa anakata Keki
Kwa pamoja waalikwa wakamuimbia 'Happy Birth Day.
Dogo Kelvin akifuatilia yanaojili kutoka kwa Aunt yake.
Watoto wa Kaka yake wanakuwa wa kwanza alikuwa wa kwanza kulishwa Keki
Mzee wetu Mzee Bayona anapata fursa ya kulishwa Keki.
Mdau Walter Rwey-Robert akilishwa Keki
Anaonekana Birthday Girl akiendelea kuwalisha keki ,pichani ni Miss Tete Augustine
Baada ya zowezi la keki ,ilishushwa bongo la show kutoka kwa marafiki wa Nancy Nas
Kijana Mkhusin Samla D Othman
Shost yake wa Karibu anamlisha Keki
Dyner Van Jimmy akimlisha Keki mtoto aliyezaliwa.
Baada ya zoezi la kulishana Keki ,Waalikwa wanapata Bonge la Dinner.
Vurugu za mamisosi zikiwa zinaendela
Ndivyo wanavyo onekana Sehemu ya Waalikwa,Dress code: Casual Black on Black!
Katika hili na lile wakiendelea kupata msosi
Jukumu linalo endelea na Watu kula kadiri wawezavyo
Utaratibu wa Zawadi ukafunguliwa na Mshereheshaji wetu Kijana Mkhusini.
Ash K Bin Amar anazama kunako na kufungua mzigo.
Ash K Bin Amar akimpongeza Birthday Girl Nancy Nas mara baada ya kukabidhi zawadi yake.
Mdau Yusuph Mawella akimpongeza Bi Nancy Nas Nafsa
Mwanadada Aine Kishah anakabidhi zawadi yake.
Birthday Girly katika utayari wa kupokea zawadi kutoka kwa Rafiki ya Bibie Aida
Zawadi kutoka kwa Bibie Dyner Van Jimmy
Nancy Nas anaonekana yupo happy wakati zoezi la zawadi likiendelea
Anapongezana na Bi Devotha
Sehemu ya Waalikwa katika picha ya pamoja na Birthday Girl Nancy Nas.
Matukio zaidi yanapatikana katika page yetu ya FB 'Bukobawadau Entertainment Media'
Mdau Walter Rwey-Robert
Muda wa burudani kidogo, na mchezo wa maswali ya hapa na pale.
Katika hili na lile anaonekana Bi Anna
Birthday Girl Nancy akifurahia Show.
Ni sehemu ya Burudani sasa.
Katika 1,2 ni Miss Tete Augustine akiwa tayari kuimba na kucheza wimbo wa 'Loyal'
Dyner Van Jimmy na Nancy Nas
Dress Code ilikuwa BLACK kwa waalikwa then unatupia na mazaga zaga ya kutoshaaa.
Blogger Mc Baraka kwa kutambua watu na umuhimu wao!!
The Cakes!!
Mtoto Nolen akisema;'Hii safi sana'
Ananyanuka kuelekea meza maalum kwa ajili ya kutoa neno la shukrani kwa Wageni Waalikwa.
Mwisho kabisa ,sherehe inafungwa na Mgeni Rasmi Mr Christopher Meneja wa The Walkgard Transit Hotel