NEWS ALERT;MAITI ZA WATU ZILIZO KAUSHWA ZAKAMATWA ENEO LA BUNJU
Ni tukio la muda mchache uliopota ,usiku huu wa Jumatatu July 21,2014, pichani ni Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko iliyokutwa na maiti hizo
Maiti zaidi ya 50 zimeokotwa bunju zikiwa zimechunwa ngozi. Kuna gari limekamatwa huko bunju lilienda kutupa takataka kumbe ndani lina watu wamechunwa ngozi km mia hivi, Walipokamata lile gari dereva kuulizwa anasema taka katoka nazo interchick.
Mmoja ya Kiungo cha Mguu katika baadhi ya Mifuko ambamo Maiti hizo zilikuwa zimewekwa